Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Happy New Year 2015.... Smart African Designs inapenda kukuletea fulana, magauni na mashati mazuri ya kiAfrica kwa bei poa. Dial/Whatsapp (Tuwasiliane): 0786 527572 Tupo Lumumba Karibu na CRDB...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
BAADA YA KUTUMIA VIPODOZI (LOTION, CREAM, MAFUTA NK) PUMZISHA NGOZI YAKO Unashauriwa kuosha ngozi yako na kuondoa vipodozi vyako vyote (lotion, mafuta, cream nk) na kuiacha ngozi yako ikiwa free...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari za humu wakuu Ni fanye nini ili nywele zangu ziwe za kupendeza na kuvutia? Huwa napenda kuwa na nwele ndefu zinapo kua ndogo na saizi ya kati huziona ni nzuri na zakuvutia sana hata watu...
0 Reactions
Replies
Views
Hapa kuna cluches zinazopenda sana kwenye Oscars! Picha ni nyingi, hebu kuwa na patienti.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Kwa yeyote anayefahamu juu ya hizi bidhaa nilikuwa naitaji kujua ni mtaji kiasi gani unaweza kunigharimu kwa kiwango cha kati kufanikisha hii biadhara pia ni wapi haswa naweza kupata hizi bizaa...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu habari zenu. Kwa anayefahamu tafadhali naomba kufahamishwa wapi nitapata MAC Powder na Foundation original. Naranguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Urembo wa kweli hutegemea nini? Watu fulani husema urembo hutegemea maoni ya mtazamaji. Isitoshe, maoni ya watu wengi kuhusu urembo yametofautiana sana katika utamaduni na enzi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
  • Redirect
Agant. Naomba sana kwa anayefahamu dawa au namna yeyote ninayoweza tumia kufuta tatoo kwenye mwili aniwekee hapa. Naomba sana.
0 Reactions
Replies
Views
Jipatie bidhaa bora kabisa kutoka Óriflame kama mafuta ya kupaka(lotion) za watoto na wakubwa za kike na kiume ,lipstick, dawa za nywele ,after shave jelly na bidhaa nyinginezo kwa afya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbunifu wa Mavazi Amina Plummer Akitoa Mada kwenye Semiana ya Ujasiriamali kwa Wanawake wa Zanzibar yenye Lengo la Kuwafundisha Mbinu Mbalimbali za Biashara pamoja na Matumizi Sahihi ya Vipodozi...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
halafu unakuta mdada ame relax kweli, hata kuweka kitu kidogo ndani hamna!! sasa na hali ya hewa yenyewe ndio hii... upepo mwingi jamani!! lets talk about this guys, je kwa wanawake, ilishawahi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
BAADA YA KUTUMIA VIPODOZI (LOTION, CREAM, MAFUTA NK) PUMZISHA NGOZI YAKO Unashauriwa kuosha ngozi yako na kuondoa vipodozi vyako vyote (lotion, mafuta, cream nk) na kuiacha ngozi yako ikiwa free...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
VITU VINAVYOHARIBU NGOZI ZETU Ngozi zetu zimeundwa kwa chembe ndogo ndogo zinazoitwa seli, ambazo ni viumbe hai; yaani huzaliwa, hukua na kufa. Seli za zamani zinakufa na seli mpya zinazaliwa...
0 Reactions
Replies
Views
Maasai
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Mkorogo Jamaica unaanzia hata umri wa mtoto mchanga wa miezi sita, ndiyo kina dada wanawapaka mkorogo watoto wa miezi sita mkorogo ni kama fasheni za nguo, huwezi kuvaa nguo za miaka 1990 ktk...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari wadau, Ninatafuta tausi na ndege wengine wasiopaa kwa ajili ya kufuga kama urembo. Je nitapata wapi kwa bongo?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
SHERIA ZA KUVAA SUTI: 1. Usikimbie hovyo. 2. Usinyoe kiduku 3. Usitembee kwa mguu mda mrefu labda mita 2 4. Usipande toyo baskeli au fuso hata kama ni lifti. 5. Usibebe malboro ni brief case tu...
11 Reactions
Replies
Views
Kila mtu mtaani now anaimba NDI NDI NDI wimbo mzuri haswaa na mashabiki wamempokea Anakonda vizuri with her new hit. Mbali na kuupenda wimbo we also love her new double undercut hair style...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari wana JF, Napenda kuuliza na kupata ushauri wenu kuhusu kuanzisha duka la jumla la bidhaa za vipodozi na urembo (cosmetics/beauty products), na pia nywele kuwauzia wafanya biashara wa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
3 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom