Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Msimu wa sikukuu umewadia. Wanaume wenzangu, huu sio wakati wa kununua chipsi kuku kama zawadi, tunapanda daraja! Binafsi Mpenzi wangu anastahili kitu spesho, na mimi kama mwanaume wa viwango...
1 Reactions
42 Replies
1K Views
Nina shida na kununua kadeti ila naona nyingi zilizojaa dukani ukivaa baada ya muda zinapauka balaa. Nataka kujua aina ya kadeti nzuri na zisizopauka na sehemu yake zinapouzwa na bei yake. Nipo Dar
2 Reactions
39 Replies
15K Views
Habari, Naomba kuuliza ni mafuta gani manzuri kwa ajiri ya massage, na yanauzwa sh ngapi?
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie Mungu akituweka miaka mitano tutajionea...
22 Reactions
119 Replies
5K Views
MHADHARA (103)✍️ Kwenye MAHUSIANO, MAPENZI, NA URAFIKI suala la usafi wa mwili ni jambo muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele kwa kila mmoja wetu. Kuna watu wameachika kimya kimya kwenye...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Wakuu “Maji ukichanganya kwenye chenga za barafu afu ukawa unaloweka uso umo kwa dk kadhaa na kutoa “ Hii inasaidia nn? naona watu wa fitness wengi kutoka nje wanafanya Watalaam wa skin na...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za humu wakuu, niko na swali hapa; Je, hivi inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine na je, yaweza kuchukua kama mda gani kwa mtu kujua hata za saizi moja?
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Huu ni uzi maalum wa kupeana ideas, uzoefu na elimu ya kupamba nyumba, namna ya kusafisha ndani na nje ya nyumba, pamoja na mpangilio wa vitu katika nyumba zetu.
7 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu tofauti na piko kuna mafuta ya kubadili rangi ya nywele kuwa nyeusi? Je yanaitwaje na ni bei gani???
0 Reactions
52 Replies
33K Views
Jinsi ya Kutunza Ngozi yako (Ushauri wa Bure) Unajua ilivyo kazi kubaki na mwonekano mzuri wa ngozi throughout. Mara chunusi, mara ngozi kavu kama ya mamba, mara ngozi haina nuru yaani ile...
5 Reactions
4 Replies
806 Views
Tuna wakati mgumu kwa wasomi,wabunifu na n.k taifa ili la tanzania watu kujua wao nani. Leo nimekutana kwenye mtandao ambao unatoa mawazo ya ubunifu kwa kila lanyanja. Kitu kilicho nifumbua...
3 Reactions
3 Replies
928 Views
Wadau ivi nitumie njia gani kusaidia ngoz yangu iwe sawa maana inasumbuliwa na acne plus scars adi inakua kikwazo. Skincare tayari ila naona zinanikataa anyway nitumie njia gani au mafuta gani...
3 Reactions
8 Replies
804 Views
Nina mpenz wangu anapenda sana lotion, cream za kujichubua mfano calorite, carrotone nk ....mm hii tabia inanikera sana, nahitaji kufahamu ni zipi nzuri ambazo anaweza kupaka na isimchubue ngozi...
0 Reactions
59 Replies
17K Views
Tz hii sidhani kama kuna mkoa unaongoza kwa watu kujichubua kama Mbeya. Ukikuta mwanamke aliyejichubua kikweli anatisha. Sura inakuwa kama kokaragosi au kashetani hivi. Lakini si wakulaumu...
20 Reactions
81 Replies
10K Views
Naomba kujua ni lotion gani nzuri ya kukinga mionzi ya jua, jua likiwa kali uso wangu kwenye mashavu nakuwa mwekundu, mi napaka mafuta ya mgando mwili mzima, sasa nimeona nahitaji lotion au mafuta...
2 Reactions
47 Replies
21K Views
Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo? Kwasababu kwa...
2 Reactions
5 Replies
807 Views
HABARI Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji?
2 Reactions
9 Replies
946 Views
Jaman mi ni kijana wa kiume ni miaka mingi huwa sipaki mafuta kweny uso wangu kwasabab nilikuwa natoka vipele nikipakaa usoni Sasa nliwahi kumuuliza muuza daku la urembo,nguo,mafuta ya kupakaa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…