Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Haijawahi kutokea! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Nakushauri kama unanafasi na kama uchaguzi wa Kenya utaenda vyema, basi hudhuria maonyesho ya Kilimo ya Nairobi, hakika hutajuta kamwe, Ni Very Organized ukilinganisha na hizi Nane nane zetu...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Wana JF habarini za mda huu? Nimepitia uzi nyingi kuhusu kakao au kokoa lakini bado sijafanikisha kupata majibu ya mwaswali haya: Naomba kusaidiwa kujua bei ya jumla ya kokoa kavu ya Tanzania...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Vifaranga wangu 20 wa miezi miwili wanatoa kinyesi laini cheupe na wanakosa nguvu ya kusimama, miguu inalegea pia wamezubaa, naombeni ushauri ni dawa gani inafaa niwanusuru , maana mpaka sasa kafa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amepokea malalamiko 13 ya wavuvi wa samaki katika Ziwa Victoria ikiwemo utitiri wa kodi pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imeandikwa na Dr.Yahaya Msangi. SHAMBA LA KOROSHO JIMBO LA KERALA INDIA: KOROSHO TAMU LAKINIII MM,…..MADHARA YAKE NI MAKUBWA! Jimboni Kerala kuna shamba la kampuni ya Kasaragond Cashew...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ghala za taifa kwa sasa zina chakula cha kutosha siku ngapi?🧐
2 Reactions
0 Replies
453 Views
Habarini za leo, Nataka nipande miti ya mvule kwenye shamba langu ili watoto waje kufaidi matunda uko mbeleni. Nipo mkoa wa Mara uku, kwenye wilaya ambayo mvua sio za uhakika na ardhi ina joto...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Habari zenu ndugu zangu Mimi ni mkulima kwa Sasa nipo dar nahitaji kufaham mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma na maeneo yanapopatikana kwa hapa Dar. Ni hayo tuu ndugu zangu
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wataalamu wa kilimo na mifugo. Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari! Kuna zao LA viungo linaitwa Saffron linalimwa zaidi Asia naomba kujua kama kuna sehemu au MTU yeyote analima hapa Tanzania.
0 Reactions
28 Replies
15K Views
Habari ndungu, Mimi nimfugaji wa nguruwe ni nimekuwa nikipata shida kwenye kunyanganya chakula kizuri cha ziada kwa ajiri ya nguruwe wangu na sitaki kuwalisha mabaki ya chakula. Kwa anayejua...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimekuwa na kawaida ya kutembelea vijiji mbali mbali, juzi nilikuwa Mufindi, nikakutana na Wachina kijijini Mapanda wanatafuta miti kwa ajili ya fenicha kiwandani kwao. Siku moja nilikuwa...
12 Reactions
45 Replies
10K Views
Msaada kwa anayejua zinapopatikana mbegu za maua kwaajili ya kupendezesha nyumbani nipo Dar Es Salaam Tegeta msaada tafadhalii
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba kufahamishwa mbinu mbalimbali za kudhibiti wezi wa mifugo shambani.
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari za asubuhi wakuu, Natumai hamjambo nyote lengo langu ni kutaka kujua maduka wanayoza dawa za mifugo kwa Bei ya jumla Dar es Salaam.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Je kuchanganya kuku na bata pamoja kuna madhara gani katika ufugaji
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Suruhisho la kuku anayedonoa vifaranga na kuviua kabisa
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Natamani kujua magonjwa ya kuku, naombeni msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
488 Views
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HAUJAANZA KUFUGA KUKU KIBIASHARA 1. AVAILABILITY (uwepo wako) Kabla ya kuanza ufugaji wa kuku kibiashara hakikisha unapata nafasi ya kushiriki kwa karbu katika mradi...
8 Reactions
21 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…