Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Ndugu zangu nashukuru sana mada mbalimbali zinazojadilikwa kuhusu kilimo. na mimi ndo naanza kujikita katika kilimo. Nina shamba langu katika wilaya ya bagamoyo (maeneo ya barabara ya...
1 Reactions
7 Replies
11K Views
Habari wana JF, karibuni mjipatie zana bora za kilimo ; trekta aina ya mahindra ni trekta bora yenye usanifu mkubwa katika nchi yetu ya tanzania. Karibuni kwa maswali na maelekezo juu ya namna ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu, Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu, naomba kuuliza hivi nikichukua nyanya kisha nikatoa mbegu zake nikazipanda zitaweza kunipa mazao maana huku nilipo uwezekano wa kupata mbegu ni mdogo.
2 Reactions
322 Replies
98K Views
Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani...
24 Reactions
184 Replies
8K Views
Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya; 1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata...
76 Reactions
219 Replies
25K Views
Naonaga kama hiki kilimo ni hatar kutokana na kua papai inaharibika haraka . Na pia haina matumizi mengi kama vile juice, au kuliwa mara nyingi ukilinganisha na matunda mengine soko lake...
2 Reactions
5 Replies
805 Views
Kuna modal ya Min Power Tiler nimeiona ikitrend. Imeundwa kwa injini ya piki piki. Je inaweza kazi au haiwezi. Naomba alieitumia anipe ushuhuda. Picha kwa niaba ya TIKTOK.
4 Reactions
5 Replies
639 Views
Itifaki ikiwa imezingatiwa, rejea kichwa cha habari. Ndg zangu ktk jitihada za kupambana huku shambani nakwamishwa na ukosefu wa maji. Nimejaribu kueasiliana na wachimbaji wa visima virefu, bei...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu . Naomba msaada wapi nitajifunza Kilimo Hai cha mbogamboga, JijiniArusha. Nahitaji kulima mbogamboga zisizotumia kemikali wala mbolea za viwandani.
1 Reactions
2 Replies
423 Views
Mfugaji wa nguruwe tazama nguruwe walivyobadilika na kuwa na afya bora ndani ya muda mfupi tu na hii ni baada ya kuwapatia Virutubisho vya MAX PIG kutoka Mifugo Plus. Nitoe wito kwa wafugaji wote...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimepanda shamba la nanasi. Huu ni mwaka pili. Nimeshaanza kuvuna. Nahitaji kuongeza/kuweka mbolea ya kunyunyizia [Foliar fertilize]. Ni ipi inayofaa?
0 Reactions
1 Replies
476 Views
PALIZI YA MAHINDI KWA KUTUMIA DAWA. Dawa zinazotumika kabla ya mahindi na magugu kuota. · Katika hatua hii, dawa inayotumika ni aina ya metelaclor+Atrazine. · Tumia kabla...
6 Reactions
31 Replies
31K Views
Habari za jioni , poleni na mahangaiko ya kutafuta riziki Kama kichwa Cha habari juu kinavyojieleza hapo juu. Mimi binafsi nilikuwa na Wazo la kuanza kufuga kuku hawa wamayai kwa ajili ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya . Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara. Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
5 Reactions
35 Replies
10K Views
Hapa nazungumzia kilimo biashara, sio kilimo cha kutegemea mvua, ukimwambia mtu nataka niende nikalime kati ya watu 10, 9 watakukatisha tamaa, juu ya hasara waliowahi kuzipata kwenye kilimo...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Kama kichwa cha Posti kinavyojieleza, ninaishi Dar es Salaam jiji la joto jingi baridi nadra labda tu ikitokea malaika wa baridi amefurahi kama ilivyotokea mwaka mmoja kati ya 90 ambapo watu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi wakuu,kwa mwenye uzoefu nimelima shamba ekali 3 za hatua 70*70 Nililima mapema sana mwezi wa 10 sasa majani yameota mengi sana kabla sijapanda mbegu kiasi kwamba nikipanda...
0 Reactions
4 Replies
703 Views
Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko...
26 Reactions
192 Replies
23K Views
Kwa wakulima wenzangu msimu wa maembe umewadia changamoto kwa sasa ni soko linapatikanaje. Kwa yoyote mwenye kujua soko la uhakika tafadhari naomba tujulishane au kama unahitaji embe kwa bei ya...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…