Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Nina eneo kubwa nataka kulima maharage. Naomba kujua ni aina gani ya maharage inapendwa sana sokoni na bei yake imechangamka sokoni. Ukinipa na mbegu inakopatikana itapendeza. Eneo heka 2
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari ndugu, Aina gani ya mbegu ya pioneer inafaa kwa mahindi ya kuchoma ukanda wa Pwani?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyanya ni zao ambalo hushambuliwa sana na magonjwa ya ukungu msimu wa mvua nyingi na msimu wa baridi kali. Hali hiyo husababisha bei ya nyanya kupanda sana kipindi hicho na wale wanaobahatika kuwa...
1 Reactions
26 Replies
12K Views
1. Blackk Pepper 2. Blackkk Berry 3 .Green Kiwi 4. Dawarf Papaya 5. Cumin 6. Golden Cayenne Pepper 7. White Cardomon 8. Min Paprika 9. Gem Squash 10. Gooseberry 11. Poppy 12. Winter Delicata...
0 Reactions
6 Replies
637 Views
Kuna aina nyingi sana za mbegu za Nyanya Hybrid. Zifuatazo ni mbegu na maeneo zinazokubali na kupata mavuno mengi. 1.Eden f1 inakubali maeneo yote tanzania. 2.Assila f1 tanzania nzima...
1 Reactions
18 Replies
29K Views
Nimekuwa nikifanya utafiti binafsi kwa kulima aina mbalimbali za mbegu za mahindi na kugundua yafuatayo. 1. ChapaTembo 719 Hii ni mbegu inayochukua muda mrefu kukomaa. Hukomaa baada ya miezi 4...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Biashara haiangalii unaamini kupitia nini, biashara haiangalii wewe ni mkristo,mpagani muislamu au mhindu,lakini kuna imani ambazo biashara inakutengenezea na inataka ufanikiwe kupitia hizo...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
FAHAMU AINA ZA KUKU NA FAIDA ZAKE Kuna aina mbalimbali za kuku ambazo mfugaji anaweza kufuga na kila aina inategemeana na malengo ya mtu husika anayetaka kufanya shughuli hii ya ufugaji, hivyo...
6 Reactions
0 Replies
908 Views
Wasiliana na 0715816196
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani wanajamvi wenzangu, Katika kupitia makala mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali duniani nimegundua kuwa ufugaji wa mbuni una faida kubwa sana na hauna gharama kubwa kwa sababu mbuni...
4 Reactions
38 Replies
17K Views
Nilikuwa nimelima mahindi ekari 2, Jana nimeenda kuvuna haya mahindi nimempata gunia 6. Nimeagiza Bajaji/ Toyo la mizigo kuja kubeba haya magunia 6 ya mahindi ambayo bado sijayapukuchua toka...
25 Reactions
79 Replies
4K Views
Kutakuwa na semina ya Kujiajiri Mwenyewe kupitia Mitandao WAPI: Ubungo Plaza DSM. Siku: Alhamisi 22.10.2015 Muda: Saa8 Kamili Mchana. Mawasiliano Piga Simu +255 752 693 692.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mhitimu wa aquaculture anaruhusiwa kuomba kazi ya Afisa uvuvi Msaidizi
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Anatafutwaa Mdada mzuri wa barbershop....iko Ubungo near stand ya mkoaaa.... Call 0752-109265 kwa Maelezo zaidi.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo wakulima na wafugaji wenzangu. Mmea huu una maajabu sana kiasi cha kwamba unahitaji tu Alfalfa kuwa 3% ya lishe ya mfugo wako kwa siku. Ukizidisha basi mfugo wako atasambuka kwa...
0 Reactions
1 Replies
455 Views
Habar wana ndugu naomba msaada wa kupata taarifa inayo husu kilimo cha malisho kwa wanyama alfalfa na lucerne hapa tanzania wa wanalima na wapi nitapata mbegu zake Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni matumaini yangu kuwa wote muwazima hapa jukwaani, kinyume na hapo ni mipango ya Mungu. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina long term plan nyingi kimaisha, lakini hili la kupanda miti...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Redirect
wakuu habari zenu. Nataka kuagiza incubator ndogo tu ya mayai machache kama 48 hivi. Sasa kabla sijaingia mkenge nipate ushuhuda hapa maana kwenye wengi pana mengi, isije nikaagiza kumbe kimeo...
0 Reactions
Replies
Views
natafuta soko la mafuta ya alizeti
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau,huku Sa Hv Biashara Nyng Ndo Znachpukia,hasa Za Tv,radio Au Fenicha,so Alo Tayar Tupge Kaz Me Ntakuwa Wakala Wake Huku,me Kikaz Ni Ticha Ila Napenda Ujasiliamali
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom