Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari zenu. Mnamo mwezi wa nne mwaka huu nilinunua mashine ya kutengeneza mkaa wa kisasa kwa kutumia matakataka makavu kwa sh. 850,000 kutoka katika shirika la wafaransa liitwalo ARTI Energy...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za masiku wana jf wapendwa wangu.Baada ya miangaiko mingi na majaribio ya miradi mbalimbali hatimaye nimebahatisha kamradi, kiasi fulani kana faida kamradi kenyewe ni cha kutoa huduma ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ebwana habarini wakuu, kutokana na ugumu wa ajira nimeamua nijaribu kufungua internet cafe hapa singida mjini, vp inaweza kunilipa hii biashara kwa nyie wazoefu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jukwaa hili ndilo lilinifanya mimi niifahamu JF. wadau wamekuwa wanaleta hoja/mawazo yanayoleta msukumo chanya wa maendeleo ya mtu binafsi kwa kutoa mawazo mbalimbali ya kumwezesha mtu kupiga...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Habarini za shughuli, Najua kuna watu mbali mbali humu ndani ambao tayari eidha wamewahi kufanya au kujaribu kufanya shughuli za ujasiriamali. Nahitaji mawazo yenu na ushauri wenu Nategemea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni ushauri jamani mbolea gani ni nzuri kwenye matango na viazi mviringo ili kupata mazao mengi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za shughuli, Najua kuna watu mbali mbali humu ndani ambao tayari eidha wamewahi kufanya au kujaribu kufanya shughuli za ujasiriamali. Nahitaji mawazo yenu na ushauri wenu Nategemea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha Biashara ya kukopesha PESA kwa Riba anataka iwe OFFICIAL so anataka kujua namna yakuisajili kampuni yake. Pia kupata LESENI utaratibu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina jogoo wakubwa wa Malawi, weusi wanauzwa. kila mmoja ni sh. 15,000/= tu. Kwa anayehitaji tuwasiliane. Niko ILEJE, MBEYA- Tanzania.:A S 103:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Poleni na kazi za kila siku wana JF. Mimi nina jogoo wa Malawi (mkolongo) weusi wanauzwa. Ni wakubwa na wazuri kwa mbegu. Niko ILEJE, kwa atakaye hitaji basi tuwasiliane. Ni wazuri kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nataka kununua pikipiki ya tairi tatu je inalipa? Naombeni wenyekujua mnipe ushauri.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kununua pikipiki ya tairi tatu je inalipa? Naombeni wenyekujua mnipe ushauri.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, nimepata idea ya kuwa na car wash,kama kuna mtu ana idea na hii biashara,ugumu na urahisi wake,challenges na mengineyo. Biashara nawaza kuifanya hapa hapa dar es salaam.mwenye mawazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shughuli gani huweza kumfanya mtu kuwa tajiri Siku moja niliwahi kumuuliza tajiri mmoja anitajie jambo moja kuu analofikiria ndilo lililomfanya akawa tajiri na kuwa na mafanikio katika maisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina mtaji tajwa hapo juu naeza anza biashara gan tofaut na ufugaji.plz naomba kujuzwa.asante
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jf naomba sana kwa walikuwa na mbwa na sungura weupe na hitaji mm napatikana dar.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada, natafuta eneo kwa ajili ya kilimo, nahitaji eka 2 hadi 5 maeneo ya mwanza. Msaada utathaminiwa
0 Reactions
0 Replies
937 Views
wajasiliamali wa kuku hiyo incubator inapatikana Kibaha, imefanya kazi hardly 3 months, pia utapewa na offer ya generator ya kuendeshea, sababu ya kuuza ni kwa sababu nimeamua kubadilisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
salama wakuu! Naomba mnisaidie kubrain storm kidogo hapa! Ninatarajia kwenda China January kuangalia buzzness opportunity ambayo inaweza kunitoa nikiileta Bongo! so nahitaji Ushauri wa aina hiyo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waungwana kwa wale wenye uzoefu naomba muongozo tafadhali. Nataka kujenga banda kama hilo hapo chini lenye ukubwa wa (5X20). Nina kashamba kangu kapo Msata njia ya Bagamoyo nilitaka nimwekee mama...
2 Reactions
25 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…