Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

natafuta soko la mafuta ya alizeti
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ni bidhaa itumikayo kwenye gari,pikipiki, generator,meli,treni,mitambo ya migodini na vifaa vingine vyote vitumiavyo petrol au diesel kwa ajili ya kusafisha mafuta hayo utumiayo FAIDA BAADA...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Natafuta shamba la kununua maeneo ya kanda ya ziwa, napendeleo mikoa ya mwanza au bukoba , shamba liwe la hekari moja ( 1) hadi tano ( 5 ) Na vile vile nitafurahi kwa ushauri wowote nitakao pata
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natumai wote wazima wa afya' naombeni mnisadie kijua: 1. Aina za sabuni zilizopo sokoni (Miche, Maji, Dawa) 2. Sabuni zenye majina makubwa 3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE 4. Aina...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
NATAFTA mtu anayeuza kuku aina ya kuchi
0 Reactions
0 Replies
849 Views
alie kwish akufanya ujasiriamali wa kutengeneza sabuni naomba anijulishe bei ya kujifunza
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wana jf, salaam mimi ni mjasiriamali mkazi wa Urambo mkoani Tabora. natafuta soko la asali ya nyuki wa kawaida. kuna mtu mmoja alinidokeza kwamba kuna tajiri mmoja ananunua jijini dar kwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za humu ndani jamani,mi cku zote nilikua mtu wa kuchungulia sana jf bila ya kujiunga napita majukwaa yote nasoma,nafurahi nacheka pakujifunza najifunza kisha naondoka,lakini ckuwahi kuingia...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
nahitaji chuo kizuri kinachotoa mafunzo ya ujasiriamali Wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Iphone 5 and sony xperia sl available in resonable price. Text or call 0717351605
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana jf naomben kujuzwa kuhusu noah, natafuta noah ya biashara je model gan ni nzur na vp kuhusu alaji wa mafuta? pia km kuna anayeuza tuwasiliane 0683427242
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wajasiliamali Wenzangu, Kuna Mzigo Mkubwa Sana Wa Viazi Kutoka Mwanza Geita Unatakiwa Kufika Dar. Najua Wengi Ni Mashahidi Kuwa Viazi Vitamu Ni Bidhaa Adimu Dar, Vinaposhushwa Kutoka Mikoani Kila...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu niko Africa magharibi nchini Mali, nimeshangazwa na aina ya vitunguu vya huku ambavyo haviwashi, havina harufu kali na ni vikubwa, nawaza kuchukua mbegu kuleta tz. kwa wataalamu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf naomba kujua sehemu ambayo naweza kupata bose solo tv speaker-dar es salaam au sehemu yoyote tz. Tafadhari saidia mawasiliano ya wahusika pia.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wkuu habari za mwaka mpya Wakuu samahani kwanza nimekuwa sionekani humu janvini kwa muda sasa hili linatokana na kutingwa na mambo mengi sana, kiasi kwamba huwa nachungulia humu mara chache sana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukubwa wa nusu heka. Bei: 5M kina hati ya serikali za mitaa. mawasiliano 0767665353
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, niko Mwanza maeneo ya pasiansi nataka kufungua babyshop itakayouza vitu kama nguo,pampers,diapers,vyombo vya kuwalishia, basins, midoli, baby walker etc. Soko lipo. Naomba ushauri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kutengeneza mabango(digital billboards) hasa mwenye uwezo wa kuliwamba bango hadi liwake ili tushirikiane kibiashara.Niliwahi kufanya kazi hiyo maeneo fulani Dar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…