Je, ni utaratibu upi unaotumika kuivisha ndizi za biashara?
Kuna jambo la kutatiza kiasi kuhusiana na ndizi za biashara, kawaida ndizi huchukuwa muda wa angalao siku nne kuiva, laiki uivaji wake...
Habari ,
Kwa yeyote anaeweza ku supply Mtama mweupe au mwekundu wenye vigezo hapo chikini kwa kiasi chochote , Tuwasiliane
Vigezo
Aina : Mweupe na Mwekundu
Moisture / Unyevunyevu - Usizidi 14%...
Habar ya leo,
Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.
Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni...
Habari wapambanaji?
Mimi ni kijana mpambanaji,katika kilimo cha mahindi na alizeti,ila mwakan nataka nijikite zaid kwenye ufugaji wa nguruwe na mbuzi wa nyama,nimewajia hapa ili kupata experience...
Katika miaka ya hivi karibuni, sekta ya ufugaji nchini Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi, hasa uhaba wa malisho unaotokana na mabadiliko ya tabianchi, ongezeko la watu, upungufu wa ardhi, na...
Unasikia vizuri kabisa!
Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukuingizia hadi Tsh 900,000 kwa mwezi
✨ Ushuhuda huu unatoka kwa wafugaji waliopata
✅ Ng’ombe Bora
✅ Mafunzo ya Kitaalamu
kutoka kwetu!
Na...
Tatizo la soko sasa limepata suluhisho rahisi na la moja kwa moja!
Sasa kupitia Blog yetu ya Tanzania na Kilimo
👉 TANZANIA NA KILIMO
Unaweza kUUZA au kUNUNUA bidhaa na zana mbalimbali za kilimo...
Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na...
Mfugaji au mtu yoyote unaetaka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na unatamani kufuga aina ya Fresian, usidanganyike kwa Mabaka 😅 Leo tunaendelea na somo letu maalum kwenye group la mafunzo ya...
Habari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu...
Usifuge mbwa wa kinyonge fuga mbwa wakatili na gharama kama came corso, pitbull,dogo argentino, rottweiler ambao hata akizaa unauza bei nzuri unapata faida
Achana na mbwa koko hawa wala mavi au...
Wanajamii habari zenu ;;??
Heri ya pasaka kwa wale wageni na page hii ni NDARO muuza dagaa kandq ya ziwa kwa hapa jamiforum nafahamika kama mtumishi yaani nawatumikia jamii sio vingine.
Yoyote...
Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa...
Habari za Ijumaa kuu ndugu zangu,
Nilipata ushawishi toka kwa jirani yangu baada ya kuona nipo na eneo kubwa nifanye kilimo kitanitoa hii ni baada ya kupoteza kazi ili niachane na kuombaomba,sasa...
Habarini wana JF.
Naomba kujua soko la zao la beetroot. Mmea huu ingawa hausikiki sana miongoni mwa watanzania, ukijaribu kwenda sokoni unakuta inauzwa ghali kuliko mboga mboga zingine. Nimewaza...
Je Nguruwe wako wamedumaa?
wamekonda?
wamedhohofika?,
vifo vya mara kwa mara?
wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara?
umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka...
Ekari 14 za mpunga kuzihudumia ni gharama wakuu kama wewe ni mkulima wa mpunga unaelewa nini napitia
Kwa ufupi mpunga bila maji ni kamari na Sasa mpunga una miezi minne lakini hakuna dalili ya...
Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea.
Altitude yake ni m800...
Ufugaji wa samaki ni taaluma inayokua kwa kasi, lakini wengi hawana ujuzi wa kutosha. Kwa hivyo, watu wengi huanzisha miradi bila mwongozo sahihi, na hatimaye hupata hasara kubwa.
Ikiwa utapata...