Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wandugu naomba tujuzane hili, Kama ni kuzaliwa wengine tusiingie kwenye vipaji vya watu, pia kama wanatengenezwa nasi tukajitengeneze.
0 Reactions
25 Replies
6K Views
kuna mashine zimenunuliwa ni zakituruk bt hazina manual book so nashindwa kuifanya vacuum inyonye maziwa kweny ng`ombe bt inawaka tu vacuum haifanyi kaz so kama mtu mwenye ujuz au namba ya mtu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari yenu,Nina pesa tajwa hapo juu nifanye biashara gani kuiendeleza?
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu naomba kujulishwa fursa za kibiashara zilizopo kahama ukiondoa mining industry.Naombeni mnishauri nifanye biashara ipi wakuu.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wanahitajika vijana watatu kwa ajiri ya kusambaza dagaa wa mwanza. wawe waaminifu na wenye nia. Kwa maelezo zaidi ni pm
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ufugaji wa kuku Tanzania kwa sasa umeshika kasi, watu wameelimishwa wakaufahamu ufugaji huo. Ufugaji wa kuku unaofanywa ni wa aina mbalimbali kuna wanaofuga kuku wa nyama broilers, kuku wa mayai...
5 Reactions
70 Replies
38K Views
Habarini wana JF, Tafadhali ninaomba nijuzwe jinsi ya kufuga kuku na kuweza kuwatotolesha aina/jinsia ninayoitaka,mfano kama nina kuku 50 na iwapo ninataka vifaranga vyote viwe majogoo tupu,je...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Ndugu wana Jf amani iwe nanyi.kwa mda mrefu nimesoma maandiko kadha wa kadha juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji humu Jf na nimehamasika.kwa kuanzia na kwa mazingira niliyopo nimeanza na kuku 50 wa...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Watu wengi hapa JF wamekuwa wakiomba ushauri wa namna ya kuanzisha au kuboresha shughuli mbali mbali za kiuchumi. Lakini watu wengi wanaomba ushauri ns wakisha upata huwa hawana kawaida ya kutupa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Pole na majukumu ya kila siku, najtokeza kwenu kwa wataalam wa kilimo hasa kilimo cha tikiti maji(watermelon). Mm cna uzoefu na kilimo nimepata shamba Hecta1 maeneo ya ulongoni g/ mboto dar es...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
eti wadau yule master wa gym mara nying analipwa how much. na mwenye experience ya hii biashara anisaidie mchanganuo wake ikiwemo vifaa vinavyotakiwa na bei zake
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu waheshimiwa, kwa kifupi naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu ni viwanda gani kwa dar wananunua dagaa wa mwanza kwaajili ya kutengenezea chakula cha kuku, plz nisaidieni nataka kuanza...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
ni mara yng ya kwanza kupitia hili jukwaa na kupost , ila leo nimepitia post kadhaa humu ndani na kusoma comments, inshort me nna mtaji wa milion 30 , ila cjajua niufanyie biashara gani naomba...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari wana JF, naishi dar, nilikuwa nina mpango wa kuanzisha biashara ndogondogo. Nilikuwa nahitaji kijana yeyote aliye Tayari tushirikiane pamoja katika hili. Tutagawana Faida sawa na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu ,mimi ni mfugaji wa kuku kwa muda nimekuwa nikiuza wakiwa wazima. kwa sasa nataka niongeze thamani ya kuku wangu nifungashe, niweke label, na kuuza. nzifahamu hatua zote za kupitia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi wapendwa wote,naamin mmeamka salama kabisa....nko na jambo hapa naomba msaada toka kwenu ktk kuplaniwa ni biashara gan nifanye kulingana na mtaji wangu nlionao na eneo nalo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wanaohitaji "fresh Strawberry", carrots, vitunguu na viazi kwa bei ya jumla na rejareja tutafutane kwa 0713769013 au 0765452928 kama tigo haopatikani. Napatikana Moro na Dar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau. Nina banda ambalo urefu ni mita 10 na upana ni mita 3.Malengo yangu ni kufuga kuku wa kienyeji 250 wa mayai nikitarget kupata at least tray 7 per day. Swali,1:je ukubwa wa...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya chakula na wakati mwengine nafanya biashara. Ni kipindi sasa toka niachane na kuuza kuku na badala yake nauza mayai na nimegundua...
0 Reactions
5 Replies
15K Views
Nafikiria kununua ki-Suzuki carry kwa biashara. Naomba ushauri wenu kwa wale wenye uzoefu wa biashara hii. Mfano; Kwa siku hesabu imefikia ngapi, n.k.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…