Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wana Jf, Katika pita pita zangu za kutafuta biashara ya kufanya nilipita katika duka moja wanalouza bidhaa zilizotumika na kuona printer ndogo yenye uwezo wa kuscan, fax, kuprint picha na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wandugu habari zenu kama muonavyo kwenye picha ni viwanja viwili na kimoja kina nyumba imepangishwa ingine ndio tulikuwa tunajivuta tuimalizie lakini naona eneo hili ni zuri kama tungeviunganisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naomba kama kuna mtu anajua namna ya kupata uzalishaji wa mwaka 2013/2014 na 2014/2015 wa zao la UFUTA , KARANGA NA CHOROKO. AU kama unahizo data. Asanteni kazi njema.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu! Nakuja kwenu kuomba ushauri ili niweze kufanya maamuzi yenye tija katika kuendeleza ujasiriamali wangu. Iko hivi, mimi ninafanya biashara mbali mbali kwa kiwango changu sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hawa ni Hybreed kutoka India walio developiwa na Indbrow, hawa ni kati ya kuku wano kuwa very havy ambapo Jogoo wa miezi miwili hufikia kilo 2 huku mtetea akiwa na kilo moja na nusu, na wanaweza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, Ninahitaji ng'ombe wadogo wa kisasa (chini ya mwaka 1 prefarably) kwa ajili ya kununua. Nipo Dar es Salaam, aliyenao naomba anipatie bei yake na yupo wapi. Kwa wale wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta watu wa nguvu kazi kufanya palizi na kuandaa shamba. kwa waliotayari au anayeweza kunitafutiaa mikoani anijulishe kwa namba 0768942828 au ani pm hapa. eneo la kazi ni mkoa wa pwani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau habari zenu!nakuja jukwaani kupata mawazo yenu juu ya fursa mbali mbali ambazo ni ngeni na zilizo zoeleka kwetu!nimepata tetesi kua mayai ya ndege aina ya KWALE yana soko kubwa sana kwa sasa...
4 Reactions
184 Replies
47K Views
Mistake kubwa inayo tukabili katika maisha ni kufuata Dream za watu wengine au kufuata njia za wanako pita wengine, watu wengi tumekuwa tunafuta mikumbo ilimuradi kitu tunacho fuata kinafanywa na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello JF, Nipo tanga kwa sasa na nimeona kua huku samaki na dagaa wanapatikana kwa wingi hasa ukienda kununua baharini, ninafikiria kusafirisha na kwenda kuuza wilaya za tanga ambazo hazina bahari...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
nimeichuja mwenyewe na kuipakinmwenyewe ina SEAL.haijachangwanywa na chochote na ni strait from mizinga kutokana na kwamba haijapitia mikononi mwa wachakachuaji kuna vinyori ndani yake...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
PRESS RELEASE Africa’s youngest entrepreneurs to win $75,000 by applying to 2015 Anzisha Prize The Anzisha Prize is expanding, after initial success, to provide increased support to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna watu ambao wangetamani kuwa wajasiriamali. Wanapoona mafanikio ya wajasiriamali wakubwa wanatamani sana kama wangekuwa wao. Haijalishi unatamani kiasi gani kuwa Mjasiriamali, tamaa yako...
8 Reactions
20 Replies
4K Views
Ndugu Wanajamii Na Thani Wazma Wa Buheri. Naombeni Ni Fahamishwe Jinsi Ya Kutengeza Sabuni Ya Unga Na Ya Mche. Ni Matilio Gani Yanahitajika? Nawasilisha Kweinu Ndugu Wanajami I Kwa Elimu,maarifa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Natarajia kuingiza kitabu hicho sokoni muda wowote kuanzia sasa, nitakuwa pia nakiuza kama soft copy. Kitabu hicho kimefanya uchambuzi wa aina mbalimbali za mikopo, kimelinganisha na kufanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JIONGEZE Ni kweli mazingira uliyokuzwa nilikuwa marufuku baba au mama akishaongea kitu alafu wewe nawe utoe mchango wako kwenye hilo jambo. Ukajikuta ukiambiwa safisha sebuleni wala huwezi...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajasiriamali mwenzenu nimekwama kidogo katika shughuli zangu kwahiyo kwa yoyote ambaye anaweza kuniazima au kunikopesha milioni 1.5 kwa masharti nafuu naomba tuwasiliane. MPE TAARIFA NA MWENZAKO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Said to be the best place to dine & wine while in Morogoro. Located along Morogoro Hotel and Gymkhana Club Road. You are welcome to enjoy our services and you will not regreat
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuuu, habari, naomba msaada kwa mtu yeyote anayejua jinsi ya kutengeneza rangi za kucha za mikono na miguu kwa wanawake, aniambie, unatumia marigafi gani, mchanganyiko wake, na mashine gani...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
TATIZO NI TAFSIR TULIZOZIBEBA TOKA KWA WAZAZI. Nikizungumza tafsiri nadhani unanielewa maisha yetu yako hapa yalipo kwa sababu ya tafsir tulizozibeba, hebu kumbuka mama yako alipokwambia tema...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…