Habari wadau wa jf. Kumekua na shida ya watu kadhaa kuhitaji kufanya ufugaji wa samaki ila wanakosa mtaalamu wa kusimamia mradi mwenye uelewa wa ufugaji huo.hivyo kwa yoyote mwenye uhitaji wa...
Habari wanajf,nimekuwa na ndoto kubwa juu ya kilimo hasa cha umwagiliaji,na nimekuwa nikiamini kuwa kilimo ni moja kati ya miradi ambayo itaniwezesha kuzifikia ndoto zangu. Mazao ambayo nahitaji...
Habari zenu wandugu
Baada ya kuwa nimepitia thread mbalimbali hapa jukwaani hasahasa zinazohusiana na masuala ya ujasiriamali, zaidi nilijikita sana katika zile zinazohusiana na biashara ya vifaa...
Hii ilikuwa ndoto na hitaji la walio wengi - Kupata sehemu ya kufundishwa ujasiriamali, biashara na fani mbalimbali kwa muda mfupi na muda mrefu kwa gharama nafuu na muda ambao mtu yeyote anaweza...
Halow wana jf
Naamini humu kuna mabinti kama mimi yani 22-25.....nina wazo la biashara ila wasiwe waajiriwa nataka tuwe group la watu watano
Sifa
1.Usiwe mvivu
2.Usiwe muoga (yani tukipanga deal...
Habari wana jamvi,
Kama nilivyo tanguliza maombi hapo juu kuhusu kufungua kampuni ya mechanical maintenance & services.
Binafsi ni mechanical engineer na ninauzoefu wa kazi viwandani, kitambo...
Habari Wanaohusika!!
Nilikua naongea na business partner wangu kuhusu kuwa official kibiashara nikamwambia tusajili kampuni,yeye akasema kwa nn tusisajili jina la biashara??
Sasa nashindwa...
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu ngazi ya degree, nina uzoefu wa uhasibu wa miaka miwili katika kampuni binafsi hapa Geita. Nina lengo la kuanza biashara ya kuwasaidia wafanya biashara wadogo wadogo...
RuVu wameshindwaaaa kazi cjui nimeoda vifaranga ila hata awarespond chochote nimewafata waanaandila oda.wanakwambia nenda tutakujulisha ukiwapigia wanakuwa kama awaijui oda yako.....
Chosha...
mimi nimebahatika kupata Tsh millioni 5 na nimeplan kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kupokea pesa kwa njia ya mitandao ya simu tigo pesa,m.pesa, na airtel money,je ni changamoto zipi...
Salamu waungwana,
Kuna mdogo wangu kapata kazi kwenye NGO moja, kwa nature ya kazi zake muda mwingi hua yuko free just sitting in the office wasting much of his especially on different social...
Wakuu habari za asubuhi?,Naomba mwenye namba ya simu ya kampuni inayozalisha mbegu za nyanya aina ya Edeni F1,na Rio Grande anisaidie.Naomba kuwasilisha.
Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu.
Vifaranga wetu wa siku moja...
Habari wanajamvi.
Natarajia kufungua company itayojihusisha na events kama wedding, matamasha N.k...
Naomba kujua gharama na upatikanaji wa Tents, hasa zile za kufanyia open events.
Natanguliza...
Kwa watu ambao mpo morogoro fursa ya wewe kufanikiwa kimaisha inakuja tarehe 13 mwezi wa 6 mwaka 2015 endelea kunifuatilia mimi
kama upo morogoro mjini na hata kama utaweza kuwepo mjini siku hiyo...
Wakuu JF,
Kutokana na changamoto ninazozipata katika maisha. Natamani sana kuwa mjasiriamali HASA biashara ya mazao(cereal business) pamoja na ufugaji wa kuku (hasa wa kienyeji).
Hivyo vyote...
Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha sauti?Je sauti yako inaweza kutumika kurekodi matangazo ya redio?Kama jibu ni ndio,basi jiandikishe nasi leo ili ushiriki usaili wa sauti kwa ajili ya...
coolmate group of companies (t) ltd
tunatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa nadharia na vitendo, tumebobea katika kufundisha namna ya kutengeneza batiki (vikoi), sabuni ya maji, dawa za vyoo...