(full Automatic egg incubator).
■INAUWEZO WA KUBEBA MAYAI 120.
● Mashine hii inatumia solar/umeme pamoja na betri
●Ukiwa na solar ya watts 60 hadi 80 unaweza tumia pasipo kuwa na invetor...
Kabla hatujaanza kutengeneza Fuga, tulizungumza sana na wateja wetu, tukijitahidi kuelewa changamoto zao na kujibu maswali ya kila siku wanayokutana nayo katika shughuli zao za ufugaji wa kuku...
Simamia shamba lako la kuku kwa urahisi na kisasa kwa kutumia Fuga app itakayokusaidia kutunza kumbukumbu kiurahisi ,kupunguza matumizi yako na kupata faida zaidi kwa kupata ;
Ratiba Maalum za...
Nini maana ya Incubator ya mayai? Eggs incubator?
Ni jinsi gani ya kuitumia Incubator kuyapa joto mayai?
Ni kitu gani nifanye kabla ya kuweka mayai ndani ya incubator?
Nini kitatokea nisipogeuza...
Habar wakuu, katika kazi yangu ya uuzaji wa bucha(nyama) nimekutana na haya mawe yenye rangi ya dhahabu nilipo pasua figo ya ng'ombe, binafs nimeshiewa kuelewa kuwa ni gold kweli au nikitugani...
Habari za kazi
Nina mashine ya kubadilisha chakula cha mifugo cha ungaunga kuwa katika mfumo wa pellets ambazo ufanisi wake unajulikana katika ulishaji wa mifugo,pia huduma ya kuchanganya cha...
Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi.
Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha...
Wataalam hebu niambieni hicho kitu kipo au Ndio namna nyingine ya utapeli?
San Mushroom Farm was established in 2013 and is one of the leading agricultural technology companies in Tanzania...
WALENGWA WA MFUKO WA PEMBEJEO
1. Wakulima Binafsi
2. Vikundi
3. Kampuni zilizo sajiriwa
4. Vyama vya ushirika
5. Taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya kilimo.
AINA ZA MIKOPO
A. MKULIMA NAFUU...
Jambo hili nimekuwa nikiulizwa sana na watu wengi iwapo mtu anaweza kufuga Nyuki wanaoudunga mwiba, (wengi wamezowea kusema Nyuki wanaouma) nyumbani, jibu lake ni ndiyo inawezekana.
Kivipi, hapa...
Wakuu husikia kichwa habari hapo juu nilikuwa naomba muongozo wa ufugaji kuku wa mayai.
Idadi kuku mia tano wa mayai bajeti yake ipoje hadi kutaga wazoefu nipe msaada.
Habari wafugaji! Napenda kuwashukur kupata nafasi kwa muda huu .binafsi Mimi ni daktari gilliard najihusisha na masuala yote ya wanyama Yani mifugo.
Leo napenda kuwaletea juu ya upandishaji kwa...
https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA
Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na...
Habari Wakuu,
Nipo mbele yenu kujibu maswali yenu mbalimbali kuhusiana na tiba na ushauri wa magonjwa yanayosumbumbua mifugo yetu mbalimbali na hivyo kupelekea uzalishaji kupungua.
Na pia kwa...
Naombeni kwa anaejua ni kipi bora kati ya ufugaji wa kondoo na ng'ombe wa kienyeji kwa maeneo ya Kahama shinyanga. Yani kipi kinaweza kuwa kinalipa kwa uharaka kuzidi kingine?
Ahsante naomba...
Wakuu nipeni ushauri. Wilaya gani mkoa wa Mwanza inatoa mpunga wa uhakika na maeneo mazuri kwa ajili ya kilimo cha mpunga.
Soma pia: 60% ya mazao ya Afrika ni Ngano, Mahindi na Mpunga, japo kuna...
Habari ,
Kwa yeyote anaeweza ku supply au unamfahamu mtu mwenye uwezo wa ku supply mahindi kwa quantity kwanzia 10tons mpaka 2,000tons kwa mwezi,naomba anicheki inbox tu link up,tufanye biashara...