Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wadau kwa wanaofahamu kilimo hiki, naomba ushauri wa kitalaamu, nahitaji kulima kilimo cha viungo (spices)? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni ukweli wa wazi kuwa wakulima wengi wanamiliki pikpiki hasa za kichina na India. Lakin zinatumika kwa usafiri tu. Nina wazo la kuongeza kifaa kidogo ili hiyo hiyo pikipiki iweze kumpeleka mtu...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Ninataka kufuga nyuki wadogo, maeneo ya Kibaha!! Ninaomba mwenye uzoefu anijuze wapi nitawapata nyuki na gharama zake zipoje!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ningependa kufahamu ni maeneo gani kwa Tanzania naweza kufanya kilimo cha watercress.
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Wafugaji habari! Nimeanza ufugaji wa kuku aina ya kroiler, ila sasa changamoto ipo kwenye gharama za CHAKULA.. aisee wanakula balaa, na wana miezi 4 . Naomba mnisaidie, njia nzuri au nini...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau wa jukwaa la Kilimo,.Ufugaji na Uvuvi. Leo napenda nitoe wazo ama kama limeshawahi kutolewa basi ningependa kueleshwa kuhusu kilimo cha olive. Nafikiri ni muda sasa umefika kwa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za leo Wana wa jukwaa la KUU. Wakuu nimewahi kukaa katika customs mojawapo ya nchi hii inayotuunganisha na nchi jirani kwa upande wa kusini. Sio muda mrefu uliopita. Kusema ukweli wazee...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Samahani wakuu, Nilikuwa nauliza namna gani naweza kuwazuia Nyani wale wadogo (Ngedere), wanamaliza mahindi yangu kabla hayajaanza kukomaa, yaani wanavunja vile vinavyoanza kuweka mahindi...
2 Reactions
55 Replies
12K Views
Habarini wakuu, Kwa wale wanaopenda wanyama kama paka, naomba msaada kuna paka hapa nyumbani kala kitu kimemzuru, basi kila wakati hujiramba mwili wake non stop, na pia na manyoa yake hutotoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimepata wazo la kufuga na kuexport konokono kwenda ulaya ambako nasikia wafaransa wanawapenda Naomba mawazo na wadau tushirikiane ktk hili Niko Lindi na wanastawi vizuri hadi wanaharibu mazao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MASWALI MBALIMBALI YALIYOULIZWA KUHUSU KILIMO HIKI Ndugu wana JF, Naomba kama kuna mtaalamu wa kilimo anisaidie ili nifahamu makadirio ya kiasi cha mavuno ya mpunga katika ekari moja katika...
5 Reactions
447 Replies
231K Views
Wakuu, Mada yahusika, katika tembea tembea yangu hasa mkoa wa Kagera nimeona faida za kiuchumi za hawa wadudu. Wabaya wana wadhamini hawa wadudu kwa lishe na kimila, hivyo kwa kuwa hupatikana...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimemsikia mbunge mmoja anasema hapa Tanzania gunia moja la bangi ni Tsh. 4,000,000/= na huko Zimbabwe ni USD 7,000/=. Eka moja ya bangi unapata gunia 6. Sasa kwa nini nife masikini wakati fedha...
13 Reactions
37 Replies
12K Views
Mimi nakupa uzoefu wangu wa field, Robo tatu ya ekari ni eneo kubwa sana kwa kilimo cha papai, kama atakuwa serious na akapoteza muda wake mwingi na nguvu zake huwenda asitamani tena ajira ya...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Wafugaji mambo vipi? Kuku wangu wanakoroma/ kukoa sana, sijajua chanzo chake ni nini? Je, nitumie gani ya dukani au kienyeji?
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Habari za majukumu, kama nilivyo tangulia kichwa hapo juu naombeni mwenye ujuzi wa kilimo cha mahindi anisaidie niokoe shamba langu la mahindi nimechelewa kupalilia mahindi yamebadilika rangi na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za mchana Mimi ni mkulima Wa mahindi . katika kuhangaika nimeelezwa kuwa kunasumu ya kupalilia mahindi tena yenyewe hayaathiriki . sasa najua humu kunawazoefu wa kilimo nahitaji kujua kuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni mfanyakazi katika mahali (mwajiriwa) hapa Dar ila kama unavyojua kwa maisha ya hapa mjini ajira pekee utachelewa sana kupata maendeleo hivyo nawaza kidogo nnachopata kwenye ajira huku...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…