Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Leo natamani kutoa elimu juu ya malezi ya vifaranga wa kuku wa kienyeji ili kupata tija. Napenda niwatoe wasiwasi kwa kuwajulisha kuwa haya mafundisho nitakayoyatoa nimeyasomea ( Agricultural...
5 Reactions
29 Replies
18K Views
Jamani mwaka huu niliamua kuwekeza katika kilimo cha matikiti. Katikati ya safari, kuna ugonjwa umekuja siuelewi. Msaada tafadhali niokoe mkosi huu. Moyo unauma sana maana ni pesa kubwa na mkopo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wengi wanamfahamu punda kuwa ni mnyama anayefanya kazi, jamii za Tanzania hasa mkoa wa arusha na manyara wanamtumia punda kwa ajili ya kubeba mizigo yao, wengi wao humbebesha punda mzigo mgogoni...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu picha inajieleza, Majani ya vitunguu yanaanza kusinyaa kwa juu kuja chini na kugeuka ya njano. Ukipasua jani ndani unakuta kuna funza au wakati mwingine humkuti lakini majani yanazidi kuoza...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hello, Natafuta mifuko/magunia maalumu ya kuhifadhia mahindi. Hiyo mifuko imekuwa maarufu kwa madai kuwa ina uwezo wa kuhifadhi mahindi na kuyazuia kubanguliwa na wadudu. Kama unafahamu naipata...
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Wakuu, Tafadhali kama unajua vifaa kwa ajili ya ku-graft miti michanga ya maembe/parachichi vinapatikana wapi hata nchini Tanzania basi fanya uungwana wa kunitaarifu. Nimekuwa nikisoma/...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba anitafute maana nataka awe agent wangu wa mchele tutalipana. Issue seriously Pia, inabidi awe na idea na mchele kupitia eneo husika alipo ndipo tuende sawa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi, Kama kichwa kinavyosomeka. Mimi nipo Geita na nina takribani gunia nne za hilo zao na bado naendelea na uvunaji. Natafuta mtu anayehitaji hii bidhaa nimuuzie. Nikipata...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari JF members. Maisha ni watu na watu ni maisha, mawazo chanya 20 sio sawa na mawazo chanya 3. Ukweli unauma lakini ni tiba. kwa mazingira ya Tanzania Kuna mtu akipata laki tano kwake ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Umofia kwenu, Katika ufugaji kuna ufugaji wa aina nyingi sana, kuna ufugaji wa kwa ajili ya kuzalisha chakula na kuna ufugaji kwa ajili ya mapambo. Ufugaji wa mapambo Huu bi ufugaji wa aina...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu salaam Nafikilia kuanza kufuga punda kwa ajili ya kilimo kubebea mizigo miepesi niendapo shamba na kurudisha baadhi ya mazao nyumbani. Kuna mtu aliniambia kuwa ni maliasili kwaiyo mamlaka...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana JF! Naombeni ushauri au uzoefu wenu kuhusu madawa yanayoweza kutumika kufanya palizi kwenye shamba la ufuta. Nafahamu yapo madawa ya kufanya palizi kwenye mpunga na hata mahindi na...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu kwa wanaojua bei ya mnada wa kwanza kupitia Chama cha Ushira mkoa wa Lindi Runali mwaka huu 2020 watujuze. Asante.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu Kuna kuku tulimpa Mayai 13 Atamie. Ila cha ajabu ametotoa vifaranga 2. Siku ya jumanne, leo siku ya ijumaa kwanzia asubuhi hataki Tena kutamia , shida ninini? Je haya Mayai 11...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
km ww ni mjasiliamali unaejihusisha na ufugaji kuku, ng'ombe wa maziwa na/au ngurue na unapata wakati mgumu saana kupata ushaur wakitaalamu juu ya mfumo mzima wa ufugaji unaoufanya na hata...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari wadau, Napenda nifahamu kuhusu matumizi ya kinyesi cha popo kama mbolea kwenye kilmo hasa cha mpunga. Je, naweza kuitumia kama aina gani ya mbolea; ya kupandia au kukuzia? Je, nitumie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni suala nililolisikia muda ila nimethibitisha baada ya mpapai kurefuka tu bila kuzaa nikaufunga gunzi ukazaa mapapai mawili, kutokana na mvua gunzi lilianguka, ukaacha kuzaa, ukafungwa gunzi tena...
6 Reactions
68 Replies
22K Views
Habari wanandugu, Nahitaji pilipili hoho za njano na nyekundu anaeuza kwa Jumla naomba ani PM tafadhali. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau naomba kujuzwa. Nimelima pilipili ila baada ya mzao wa pili kwenye majani imejitokeza kama ukungu kwa chini na mimea ni kama imeanza kudhoofu. Tafadhali nini sulihisho sbb nimejaribu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wa JamiiForums na wakulima kwa ujumla, Ningependa kufahamiana na wakulima wenzangu waliopo Mwasonga-Kigamboni ili kuweza kutembeleana kujifunza zaidi.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…