Taifa letu ni tajiri wa ardhi na mifugo mingi isiyo na tija stahiki, ardhi inapungua kila uchao. Zimekuwepo jitihada kiduchu kuboresha mbegu. Serikali na wasomi wetu kuweni makini.
Kupanga ni...
UTANGULIZI
Ufugaji mseto wa samaki ni ufugaji ambao bwawa la samaki linakuwa ndani ya shamba pamoja na shughuli nyingine za shamba aidha hapo hapo shambani au katika eneo lililo mbali kidogo na...
Wanazengo habari zenu, mimi ni mfugaji wa bata nina bata wamezaliwa wadogo wadogo karibu 45, wote wana wiki moja+, wana afya njema na hakuna hata mmoja aliyekufa.
Sababu ya kuanzisha huu uzi...
Natumai mnaendelea vizuri na majukumu yenu bila kusahau harakati za kampeni za uchaguzi.
Kuna maswali najiuliza juu ya huu mchakato wa ugawaji wa mbolea za yara.
Utaratibu unakutaka Kuomba...
Wakuu habari
Kwanza napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu kwa kushare different ideas bila kinyongo, nasi tunapitia mawazo,changamoto kuhakikisha tunafanya vzur zaidi
Binafsi hua...
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWENYE KILIMO CHA PAMBA
Mwandishi: Mashima Elias
Ili kuongeza tija na Ubora wa Pamba Mkulima hana budi kuweka Juhudi katika kupata maarifa zaidi kuhusu kilimo cha pamba...
Habari ya muda huu wajasiriamali wenzangu.
Kama mada inavyojieleza kwenye kichwa cha habari hapo juu ni vyakula gani vizuri kwa ajili ya vibwagala, mimi binafsi natumiaga makombo ila bado sioni...
Natumaini wote mko salama,
Kama heading unavyo jieleza na picha Kuku hawa waliuwa niwazima ila siku za hivi karibuni wameleanza kuvimba macho. Na kuhusu swala la chanjo wote wamesha pata.
Naomba...
Habarini ndugu zangu, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, natafuta mtu ambae yuko serious tuendeleze kilimo ambacho tayari nimeshakianza ila nguvu ya kukiendeleza imekosekana kwa vile hali yangu...
Wana JF habarini za mchana,
Nahitaji picha za malishio ya kuku ya kutengenezwa kwa maboksi au material yeyote kwaajili ya kulishia kuku kwa wale wanaotengeneza yao binafsi maana sina hela ya...
Wakuu habari yenu, naomba kufahamu dawa inayoweza kusaidia kuondoa shida hiyo ya minyoo(flatworms) katika kuku wangu. Nimejaribu kutafuta maduka ya madawa ya mifugo nilipo sijapata jawabu.
Habari ndugu zangu,
Naomba kwa anayejua mkoa naoweza kupata karanga nzuri zile kubwa kubwa kidogo, sio hizi ndogo ndogo (wakulima / wauzaji wanajua)
Pia, naomba kwa mtu anayeweza kujua...
Je wajua?
Inatajwa kuwa Mende walikuwepo duniani miaka milioni 120 iliyopita, kabla ya wanyama wakubwa kama vile Dinosaurs na bado hajawahi kupotea. Mende ni mdudu anayetajwa kuwa anauwezo wa...
Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane - JamiiForums
Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi...
Habari Wakulima na wasomaji wa makala za Kilimo.
Leo naomba tuelimishane kuhusu Ukungu.
Je Ukungu ni nini?
Ukungu sio ugonjwa kama inavyofahamika kwa walio wengi.
Wakulima wengi wanajua kuwa...
Habari Wakuu
Nilipitia maonesho ya nane nane mwaka huu na moja ya kilimo kilichonivutia ni kilimo cha Dengu na Conflower/Brocolli.
Mazao haya yana soko kubwa sana nje ya nchi hasa India kwa Dengu...