Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kwa muda mrefu tumekuwa tukishughudia wakulima wengi wa greenhouse wakipata hasara au kutokupata mavuno bora kama walivyotegemea, kuendelea kutumia madawa ya kuuwa wadudu kwa kiasi kikubwa kama...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya kilimo cha kisasa na matokeo yaliyo bora. Yanapatikana kwenye mfumo wa kilimo cha umwagiliaji cha grrenhouse Kwa mahitaji ya greenhouse Call Us; 0623646674 Email;mooyasin97@gmail.com
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anatoa mapovu machoni, dawa yake nini ipi? Pia kuna kuku wanatagia sehemu moja unawatenganisha vipi ili kila kuku atagie sehemu yake. NB: Wanaishi banda moja
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nipo nyanda za Juu kusini (southern Highlands), nahitaji kulima mali mbichi kwa umwagiliaji wa drip mara baada ya msimu wa kuvuna mahindi ambayo yapo shambani kwa sasa. Naomba ushauri nipige zao...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama picha inavyojieleza yenyewe, hao jamaa wanawaingiza vifaranga wa samaki bwawani, ila naona nyaya kama za umeme zimetoka kwenye switch zikaingia bwawani na kuna kichwa kikubwa tu sijui nawaza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shayiri nijamii flan iv ya ngano ambayo hutumika sana kutengenezea Pombe, zao hili lina uhitaji mkubwa sana apa nchini kwetu hasa kwa viwanda vya bia kama vile TBL and SBL, naomba mwenye uzoefu...
0 Reactions
37 Replies
23K Views
Mhitimu wa aquaculture anaruhusiwa kuomba kazi ya Afisa uvuvi Msaidizi
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika kuhakikisha lengo la kuongeza uzalishaji wa mazao bora ya Viungo, Mboga na Matunda yenye kuzingatia matumizi madogo ya pembejeo za kemikali, wataalam wa kili mo kupitia mradi wa Viungo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe, kuhusu bei ya mbegu, mahali zinapatikana hizi mbegu na masoko anijuze tafadhali. Nipo Mbeya
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za majukumu ndugu zangu. Ninatafuta suluhisho la kudumu la miti midogo yenye miiba shambani. Hii mimea imekuwa kero kubwa kwangu kwani kila nikipanda shamba, hiyo miiba huchipua. Hata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze au Kibaha. Bei 7000 hadi 7300 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray kuanzia 200 na kuendelea, mawasiliano 0625602775...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kilimo cha kahawa kina faida kubwa kwani mavuno yake unalipwa kwa dola. Kwa mfano ekari moja ambayo unapanda Miche 800 na mche mmoja kununua na kuupanda gharama yake Tshs 500. kwa Miche 800 sawa...
3 Reactions
4 Replies
8K Views
Ndugu zanguni wakulima, hivi ni mbolea gani inafaa kuwekwa kwenye mpunga ili uweze kuzaa vizuri?
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kulingana na bei ya mizinga ya kisasa kuwa ya gharama ya chini hapa Tanzania, nimeona bora ni-import toka China moja kwa moja. Kupitia Alibaba nimeona mizinga ya "Langstroths" ambayo ni bora kwa...
3 Reactions
100 Replies
30K Views
habari wanajamvi, Nataka kujua kama naweza kupanda maharage na mahindi kwa pamoja ndani ya shamba moja. Yaani kwa mfano, hapa nimepanda mhuindi na apa maharage sehemu moja aiwezi kuleta shida.
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari wadau, Nahitaji kupata mbegu za pilipili hoho, kijani, nyekundu na njano.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu na Wajasiriamali naomba ushauri na msaada. Nafikiria kuanza kilimo cha njugu mawe je kina soko? Ardhi ya namna gani inafaa na hali ya hewa ya namna gani. Msaada tafadhali. ============...
0 Reactions
5 Replies
13K Views
Naomba kujua changamoto za irrigation system source ya maji ni kisima kirefu 100 mtrs. Ukimwagilia maji shambani kwa mpira wa kawaida baada ya km mwezi pakikauka panapauka inaiona chumvi...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Katika kikao cha wadau wa zao la kahawa mkoani Ruvuma ambao umefanyika Leo mjini Songea, Mkuu wa Wilaya ya Ludewa amependekeza itungwe sheria Kali kwa wasiotaka kulima zao hilo kwa hiari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari I wakuu, ina mchugwa wangu nyumbani huu ni mwaka wa saba hatujawahi kuzaa tatizo nini? kuna rafiki yangu amenishauri nitafute utaalamu wa kupandishia ili uzae. Je, hii kitu ni kweli ipo?
0 Reactions
2 Replies
694 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…