Uganda, nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta katika eneo la Albertine Rift Basin, inaendelea kujifunza na kuboresha uelewa wake wa jiolojia ya eneo hilo wakati wa mchakato wa uchimbaji wa mafuta...
Ugandan President Yoweri Museveni revealed that he had lifted a ban on a minerals export ban that had been in place since 2012 following an agreement with his Kenyan counterpart William Ruto...
Kwa habari Kamili tafadhali litafuteni Gazeti la The Monitor la Uganda ili mjisomee Wenyewe ila Mimi baada tu ya Kuisoma hiyo taarifa na Kunishtua sasa nafanya utaratibu Maalum wa kwenda Gym za...
Pte Abraham Engwedu (kushoto) and Pte Stephen Jarili (kulia).
Askari mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa miaka 35 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuikimbia Jeshi la Ulinzi la Watu wa Uganda...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kampala kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Kampala.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on...
Rais wa Afrika Kusini anaanza ziara ya siku mbili nchini Uganda leo, miezi baada ya nchi yake kutuma wanajeshi chini ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupambana na waasi wa M23...
Mahakama ya katiba nchini Uganda imetupilia mbali shauri lililowasilishwa Mahakamani kupinga sheria dhidi ya mapenzi kati ya Watu wa jinsia moja na kusisitiza kuwa sheria hiyo inalinda utamaduni...
Waganda mna bahati sana. Mtachekwa sana ila nyinyi ni afueni kuliko sisi majirani zenu. Huyo dictator anaisaidia sana nchi yenu. Tz sisi ndio watu hovyo zaidi east africa. Viongozi wetu wanauza...
Hii ndio Safari aliyoipita Jenerali MUHOOZI KAINERUGABA Mtoto wa Rais wa Uganda Yowery Kaguta Museven hadi kuwa Mkuu wa Majeshi wa Nchi Hiyo
2000: Aliteuliwa kuwa Luteni wa pili, Kitengo cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda tu kuwapeni taarifa wale ambao mlikuwa hamfahamu kuwa Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweli Kaguta Museveni Amemteua Mwanae Jenerali Muhoozi kuwa Mkuu wa majeshi ya...
AFPCopyright: AFP
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amemteua mtoto wake, Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).Gazeti la Daily Monitor la Uganda limeripoti.
Anachukua...
Yajayo yanafurahisha nchini Uganda.
Uteuzi wa Kainerubaga Muhoozi umetagazwa leo usiku wa manane. Aliyekuwa mkuu wa majeshi ameteuliwa kuwa waziri wa nchi.
Kuna tetesi nchini Uganda kuwa Rais...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa...
Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa Uganda imekidhi vigezo vya kuorodheshwa kama nchi ya kipato cha kati cha chini (lower-middle income) baada ya kuboresha kwa kiasi kikubwa afya, elimu na...
" My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament, invented Guests, ladies under gentlemen. I hereby thank you completely… Mr. Queen, sir; and also what he has done for me...
UGANDA: Serikali imetenga Dola za Marekani Milioni 800 (zaidi ya Tsh. Trilioni 2) kwaajili ya kutangaza na kufundisha Lugha ya Kiswahili nchini humo kwa lengo la kukuza ushirikiano wa Kikanda...
UGANDA: Chuo Kikuu cha Makerere kimesema takriban Wanafunzi 1,000 wanaacha au kuachishwa Masomo kila mwaka kutokana na kupoteza Fedha za Ada wanazozitumia kwenye Michezo ya Kubashiri maarufu kama...
In a groundbreaking display of innovation, Team Imperial Tech from Rise and Shine Secondary School in Ntinda, Uganda, has emerged as this year’s regional champions of the Sahara STEAMers Grand...
Wanawake zaidi ya 100 wamehukumiwa kifungo cha Mwezi Mmoja jela na kufanya kazi za Jamii baada ya kukiri kuwatuma Watoto wao kuomba barabarani Jijini Kampala. Pia baada ya kifungo Wanawake hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.