The Lounge

Chit-Chat | General Chat | >> A place to chat about anything as long as it abides by the Forum Rules.
Gonzalez nawafungulia code 3 kwa comment za mdau in a previous code 2. Hii ni kwa wanaume 18+ but under 25 years. 1. Usinywe pombe nothing bad like driving your mind in a crazy way. 2. If you can...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Redirect
7 Reactions
Replies
Views
DEAR MEN, A VIRGIN GIRL MAY NOT BLEED ON THE FIRST DAY OF SEX. NO. SHE DIDN'T LIE TO YOU. READ. SHARE. REPOST. Walk with me, Men. The Hymen and Other Heavy Myths: A Small Tissue, a Large...
0 Reactions
4 Replies
287 Views
Truth hurts. Your life is what you make out of it. You have to take the charge of your life. No one is going to fix you. If you're waiting for someone to heal your broken heart, you'll be waiting...
7 Reactions
9 Replies
3K Views
Salamu wakuu. Ndani ya siku hizi mbili tatu nimekuwa na ukimya usio wa kawaida ndani ya jukwaa hili na si kawaida yangu kupotea kwa muda mrefu kiasi hicho. Ukweli ni kwamba nilikumbwa na tukio...
9 Reactions
35 Replies
675 Views
Nashukuru JF kwa kuwa moja ya sehemu za kuongeza furaha, kunipa raha na kupunguza maumivu kwa mwaka huu. 2025 ulikuwa mwaka mgumu kwa wengi wetu; asanteni kwa tabasamu, mafunzo, elimu, vituko...
14 Reactions
107 Replies
2K Views
Sikukuu tunayo na tunatamba nayo 😅 😅. Sie wazazi tumemalizana rasmi na shughuli za watoto na familia. Muda wetu wa kuenjoy umewadia, kinachofuata mnakijua. Mliopo Dar wapi pananoga saa hii? tuje...
15 Reactions
474 Replies
3K Views
D9 inakukuta ukiwa mkoa gani? Umebaki maeneo ya mijini au ni kama sisi umekimbilia kijijini au nchi jirani? Ikitokea kesho ni siku yako ya mwisho duniani, tupe maneno yako ya mwisho ya...
12 Reactions
244 Replies
3K Views
Wale ambao kibaruani pasua kichwa, home napo kupo kama hakupo, siasa na mambo ya nchi yanatuumiza vichwa na mioyo - tukutane hapa tubadilishane mawazo. Kama unajisikia kujibu maswali, fanya...
15 Reactions
311 Replies
5K Views
Kumekuwa na utitili wa wimbi kubwa la watu wanaojitokeza na kusifu hatua za META kufungia acount za mshangazi wa kimarekani. Wengine wanafika mbali na kumpachika majina mabaya kama adui wa Taifa...
1 Reactions
23 Replies
872 Views
Valentine's Day is a special day dedicated to celebrating love and affection between intimate partners. This holiday is widely celebrated around the world and offers an opportunity to express love...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtu kukukuta umekaa kwa utulivu, umeweka headphones zako masikioni, unafanya mambo yako halafu akaanza kukuongelesha upuuzi tu. Hasa huku makazini, siyo lazima kila wakati tusemeshane. Kama...
11 Reactions
87 Replies
2K Views
Wiki imekua ndefu na mpaka tumalize huu mwaka tutaona mengi. Hali ya kisiasa ilivyo Tanzania kwa sasa inakupa hisia zipi? Vipi nini kimekufurahisha au kimekukera wiki hii? Matarajio na malengo...
7 Reactions
27 Replies
772 Views
We’ve all had them, share yours and tag someone whose thoughts you’d love to hear. Here are some of mine: How did people react the very first time twins were born in human history 🤔? If...
11 Reactions
171 Replies
6K Views
Nina changamoto ya kiafya kwahiyo leo natulia zangu nyumbani siendi kokote. Kila la kheri kwa wote mtakaoshiriki na kutuwakilisha. Kwa wenzangu mliobakia majumbani: Nini kimesababisha ushindwe...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Wanawake hawana tatizo lolote, tatizo ni sisi wanaume tutawalaumu bure ila mwisho wa yote tatizo ni sisi. Mwanamke anaishi kama kioo atakuonesha tu ujinga wako ulivyo utake usitake kwa kujua au...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…