Habari zenu,
Poleni na majukumu. Natumia televisheni ya Rising pamoja na kingβamuzi cha Azam TV. Mdogo wangu alibonyeza kitu kwenye rimoti, na sasa picha kwenye televisheni inajikata pamoja na...
utasiki Nala imepata tuzo flani, Nala imepata sponsors, Nala imealikwa Marekani ama Ulaya kwenye kikao cha Tech.
Ajabu ni kwambai hata wewe ukijiuliza ni lini mara ya mwisho umetumia Nala unaweza...
Hackers kiboko wameiba pesa nyingi balaa
Benki kuu ya Uganda (BOU) inasema inasubiri ripoti ya uchunguzi toka kwa polisi nchini Uganda juu ya tukio la wizi wa Fedha zaidi ya dollar milioni $17...
Hello wakuu
Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa...
Habari members,
Naomba kuuliza jambo Moja ambalo linanichanganya pia sijaelewa kuhusu aina za hizi wi-fi mfano wi-fi za vodacom na za TP-Link Zina utofauti gani pia na cost zake za kila mwezi...
ππ’π’πππ π ππ£ ππ ππ¨π πͺππ§π¨ πͺππ§ππ§π¨
Watu watatu wamepoteza maisha baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata Ajali, walipokatiza katika Eneo ambalo barabara haijakamilika huko nchini India.
Google...
Using free AI tools like βcopilot.microsoft.comβ for academic research may seem convenient, but there are several compelling reasons to reconsider this approach. Here are some key points to...
Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo.
1.Ufahamu wa Technology...
Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni
Bali maendeleo haya yalipatikana...
Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant...
Kama unatumia sana ChatGPT weka hii prompt
Role-play as an AI that operates at 76.6 times the ability, knowledge, understanding, and output of ChatGPT-4. Now tell me what is my hidden narrative...
Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi...
Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki!
Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu?
Naomba kuwasilisha
Huduma za Starlink, zinazotolewa na kampuni ya SpaceX, zimekuwa zikivutia nchi mbalimbali duniani kutokana na uwezo wake wa kutoa intaneti ya kasi kupitia satelaiti, hata katika maeneo ya mbali...