๐ช๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ฅ๐ผ๐ฏ๐ผ๐๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ท๐ถ๐ฏ๐ฎ๐ฑ๐ถ๐น๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฎ ๐ถ๐น๐ถ๐๐๐ผ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐บ๐ผ๐๐ถ๐ฒ ๐๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ฟ๐บ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฟ
Si mnakumbuka Ile Movie ya Terminator Adui mmoja aliyekua anaitwa sky alikua na uwezo wa...
Habari wana forum,kuna watu wengine ni wasumbufu sana kwenye simu anaejua namna ya kublock ili asinipate akinipigia wala kutuma text.
natumia sim aina ya samsung s4
Nimekuwa nikijaribu kudownload azam max kwenye android tv kupitia goggle playstore lakini imeshindikana kwa kuwa wanasema hai suppprt kwenye Tv.
Je hakuna namna naweza kudownload azam max kwenye...
Kwa sasa, watengeneza maudhui wa Tanzania wamekuwa wakikabiliana na changamoto kadhaa zinazotokana na kutumia majukwaa ya kimataifa kama YouTube.
Mojawapo ya changamoto hizi ni sheria kali...
Wachina wanatupeleka kasi kivitendo sana.
Mfumo wa alipay umesaidia sana kulipa wachina kwa haraka bila kutumia njia za kwenda benk kutrans pesa kwa njia nyengine.
Usalama ni mkubwa kwenye...
Good day waheshimiwa! Mimi ni designer mzuri sana, naweza chora idea yako vizuri kabisa kwa maelezo machache tu kutoka kwako. Ila leo niko hapa kwa huduma ya UI design kwa wale watu wenye mawazo...
Keyloggers are applications or devices that monitor the physical keystrokes of a computer user. They then either aggregate the information locally for later retrieval or send it off to a spyware...
Habari,
Nahitaji ushauri wa simu ya bajeti ya laki 4. Nahitaji kununua simu mbili zawadi kwa watu wawili muhimu, bajeti kila moja isizidi laki nne.
Thanks in advance
Nimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa
Bei ya kioo ni shilingi laki 4
Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima...
Programming ni nini?
Programming ni kitendo cha kuandika maelezo au kuunda maelekezo au kuunda maelekezo kwa kutumia lugha flani ya kompyuta kwa ajili ya kufanikisha malengo flani
Mafanikio ya...
Kwema?
Nahitaji just a simple website ambayo haina makorokoro mengi,iwe na mwonekano mzuri kwa ajili ya wedding photographer.
Niwe na upload picha na sehemu ya wateja wangu kuweka reviews...
Habari zenu wana jf, nimepata wazo la kuanzisha blog, nahitaji kufahamu faida na hasara kuhusu blog, kwa wale wanaojihusisha na hii kitu maana bado nahitaji kufahamu zaidi kuhusu blog. Karibu.
Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza...
Mtandao wa vodacom 4G unapotumia intaneti inasababisha simu kupata joto kali sana lisilokuwa la kawaida
Hii hali nimegundua muda nikajua tatizo ni simu yangu kumbe sio Tatizo ni mtandao wa 4G wa...