Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari Wakuu, Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana, Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Website 10 Bora za Kujifunza Digital Skills Mwaka 2025 Katika dunia ya leo, kujifunza ujuzi wa kidigitali si chaguo tena; ni hitaji. Kama unataka kujiendeleza kitaaluma au kuanza safari ya...
1 Reactions
2 Replies
963 Views
MIPANGILIO (SETTINGS)6 HATARISHI UNAYOPASWA KUZIMA KWENYE SIMU YAKO MARA MOJA! Simu yako inaweza kuwa inakufuatilia, inakusikiliza, na hata inakusanya taarifa zako bila wewe kujua! Ili kulinda...
9 Reactions
2 Replies
948 Views
Wakuu, nahitaji letter head. Alie tayari kunitengenezea aje tafadhali
1 Reactions
4 Replies
300 Views
Nina SMART UPS C (APC) Hii ni kama back up ya umeme kama unatumia umeme ukakata kama ukiconnect hii desktop haizimi ni mpya kabisa Tatizo sijajua kuiunganisha ili desktop ichukue moto. Mwenye...
1 Reactions
5 Replies
413 Views
Mwaka 2022 Xiaomi walizindua tablet ambayo inakwenda kwa jina rahisi tu "Redmi Pad" ... yaani Xiaomi Redmi Pad. Ambayo bei yake ni kama shilingi laki nne hivi za kitanzania. Tablet hii inakioo cha...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Kama Title ya thread inavyosema. Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia modes mbali mbali katika game yako ya ETS 2. Sometimes inafika stage kwenye hili game unakua kama...
30 Reactions
5K Replies
397K Views
Wakuu salamu za usiku. Naombe munijuze kuhusu tablet za atoch ambazo naona zimeenea sana. Hasa spidi katika matumizi na uimara pia. Asante
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Pia kwa ambae anatumia faili la KANE MASTER anielekeze namna ya kuilipia, najaribu kulipia kupitia Airtel nakwama. Nitangulize shukurani
1 Reactions
27 Replies
999 Views
Natumia simu flan Samsung sasa bana nina tabia ya ku install app mbalimbali. Kurekodi sauti, nk Sasa kuna app moja sijui ni ya Samsung ama nimeiwekaa bana nika ipa permit iwe on.. Simu imenitesa...
2 Reactions
7 Replies
634 Views
Habari wanajamii, naomba kufahamu ni app ipi unaweza kudownload videos na zikahifadhiwa moja kwa moja kwenye sd card.
1 Reactions
11 Replies
856 Views
Naona kama kwa sasa limeingia wimbi la kutangaza na kuuza Rooters za WIFI kwa makampuni ya simu nchini. Kila mmoja anavutia kwake kwa vifurushi vya Mbps 10, 20 na 30 ambavyo ni kwa 4G na 5G...
12 Reactions
132 Replies
30K Views
Samahani wadao, naomba kuuliza Nilinunua mifi ya Airtel, sasa kuna kazi nataka kuitumia haiitaji data sana, ile lain iliopo ndani nikaitoa nikaunga bundle la kawaidia GB 1 ila ikakataa kuzitumia...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Issue ya virus kwenye windows inaweza sababisha ukapoteza document muhimu Sana hasa unapokuwa umezihifahi kwenye flash disk yako halafu ukaenda kuprint kwenye hizi stationeries ambazo wengi wao...
0 Reactions
10 Replies
722 Views
Wakuu naomba msaada wa software ya Nitro pro Na APK ya WPS premium Ahsante
0 Reactions
2 Replies
346 Views
Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote; Hamna hela Hamna viewer Hamna comment Hamna faida yeyote Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker. Naambulia kulipia...
22 Reactions
114 Replies
6K Views
Katika dunia ambako wanadamu na mashine waliishi pamoja, mawasiliano yalikuwa changamoto. Watu walizungumza lugha nyingi, huku kompyuta zikielewa tu namba. Hali hii ilileta mgawanyiko mkubwa, na...
1 Reactions
7 Replies
545 Views
Kama kawaida hope mko poa Mimi napenda sana programming na nina baadhi ya projects nimesha zi develop Za desktop, mobile, na web based systems. Nimesoma chuo ila nilikua based on...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Kati ya hizi aina mbili za simu . Google pixel na Iphone ambayo nzuri ni ipi nimechoka Samsung
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Umeshawahi kucheza game ya God of War ? ☣️ Miaka 20 iliyopita Game pendwa ulimwenguni iliyokuwa inaongoza kuharibu Pad 😃, God of War iliweza kuachiwa. God of War ni. Game la mapigano la...
2 Reactions
8 Replies
505 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…