Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week...
Off course vpn za kutumia internet bure zina faida zake ikiwemo kuokoa gharama na nikiri niliwahi kuwa mdau lakini kuna kipindi nilichoka aisee, ilibidi nizihame moja kwa moja.
-siku yoyote...
Naelewa kuwa kampuni ikipitia new Board inakuwa na mabadiliko ila hili swala la kupush notification hizo za "Ongea Zaidi" "Data Zaidi" kila siku message za "Nunua kifurushi cha INTANETI cha Tsh...
Habari wakuu
Logitech g29 bei yake inakaribia kua mara mbili ya hii pxn v10 maana kwenye box la logitech g29 kuna wheel na pedal tu ukitata kirungu inabidi uongeze kama 250k lakini pxn v10 ndani...
Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa.
Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia...
Njia 4 za Kuongeza Kasi ya Smart TV Yako Bila Kufanya Reset
Katika ulimwengu wa sasa wa kidigitali, tunategemea Smart TV si tu kwa ajili ya kutazama runinga, bali pia kwa matumizi ya intaneti kama...
Tech inaenda kwa kasi sana Google wameleta code editor yao ila bado iko kwenye review
Unaandika prompt chap then una host firebase ila sasa bado real programmer skills ni muhimu
Unasema nin...
Wengi tumekua tukilalamika kuhusu Vifaa tunavyotumia vingi ni feki π, Tena ile feki pro max yani iliyopitiliza, Sasa utajuaje hii Airpods ni feki au original ? Makala hii ni yako π
Ukiangalia...
Unatumia File Explorer katika Kompyuta yako? Basi Uko Nyuma Sana!
Fikiria Mambo 7 Microsoft Wanayopaswa Kuboresha Haraka Kabla Hujaacha Kabisakabisa!
Umewahi kukwama ukitafuta faili moja tu...
Wakuu habarini za sahizi,poleni na majukumu,waungwana naomba msaada wa hili jambo,mi ni mjasiria mali,niko istagram ila sina uzoefu sana,nilifanya malipo ya matangazo na meta mara kaza,kuna deni...
Je, Laptop Yenye Intel Core i7 ni Bora Kuliko i3 na i5? Hii Ndio Ukweli!
Watu wengi wanapohitaji kununua laptop mpya hujiuliza:
Je, Intel Core i7 ni bora zaidi kuliko i3 na i5?
β Jibu fupi ni...
Naomba msaada jinsi ninavyoweza tengeneza bio gas digest ndogo nyumbani, nataka tengeneza kwa kutumia tank ya lita 100 kwa kutumia malighafi(materials) ninayoweza kupata kwa urahisi ni garama...
Wataalam Wakuu.
Natumia browser ya Google chrome, ila napata ugumu Kudownload video za YouTube.
Nipetumia extension kadhaa ila hazifanyi kazi.
Je, kwa sasa ni hipi browser mzuri mbadala wa...
π¦ππ’π₯π§ππ¨π§ π π¨πππ π¨ ππͺππ‘π¬π ππ’π π£π¬π¨π§π π¬πππ’
Leo nakuletea maujanja muhimu kwenye kompyuta yako ambayo wengi walikua hawayajui, najua unatumia kompyuta kwenye kufanya shughuli mbalimbali lakini Kuna...
Hasa kwa complex project
Mda sasa nimekua nikitumia python kama primary PL
Moja ya sida kubwa sana ni speed, aise python ni tabu sana
Leo nimeanza kufanya project ambayo natumia python na cpp...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI)...