Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hongera kwa Watumiaji wa iPad! Kuanzia Leo tarehe 27/05/2025, WhatsApp Inapatikana Rasmi Kwenye iPad Yako! Kwa muda mrefu, ilikuwa ni ndoto tu. Watumiaji wa iPad wamekuwa wakitamani na kusubiri...
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Jamani kama Kuna IT anaweza mambo ya mifumo vizuri,naomba msaada Kuna web nataka nianzishe sijui pakuanzia naomba anicheki Dm nitajieza vizuri, na Kwa upana zaidi Asante.
1 Reactions
0 Replies
251 Views
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, kuuza bidhaa si lazima uwe na duka la kupanga โ€” simu yako na intaneti inatosha kabisa kuendesha biashara yenye mafanikio. Haijalishi unauza nini: iwe ni bidhaa...
2 Reactions
1 Replies
781 Views
The Nokia P1 Ultra 2025 5G is a smartphone that uses the Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 chipset. It also has 16 GB of RAM and a 7300 mAh battery.
17 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Wadau, me shida yangu ni ndogo tu.. Naomba mnielekeze jinsi gani naweza kumtag mtu/member mwenAngu humu JF. Nawasilisha
4 Reactions
363 Replies
33K Views
Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna...
18 Reactions
61 Replies
4K Views
Kutana na kijana anaitwa Md Shariar Shanaz Shuvon mwenye umri wa miaka 17 aliyejifundisha binafsi jinsi ya kufanya udukuzi kutoka Bangladesh india. ๐Ÿ’ญ Aliweza kugundua udhaifu mkubwa kwenye mfumo...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari zenu wakuuu, hope ni wazima wa afya !! Kama kichwa cha habari kinavyosema, nina Samsung Galaxy A71 ambayo nilinunua mwaka Jana Nilivyojiunga na Chuo Hapa Dar mwezi wa Kumi na moja ...
2 Reactions
60 Replies
9K Views
Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani Ili kuoata watumiaji wapya
2 Reactions
32 Replies
1K Views
wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapa unapost kazi yako ya graphic tunacheki kama inamakosa tunakosoa unarekebisha unajikuta unawiva katika graphic design
3 Reactions
101 Replies
61K Views
UTAPELI WA โ€œTUMA KWA NAMBA HIIโ€ UPO HATARINI ZAIDI KULIKO UNAVYOFIKIRI Na Goodluck Maleko J UTANGULIZI Katika zama hizi za kidijitali ambapo kila kitu kinatokea kwa njia ya simu, kumekuwa na...
2 Reactions
1 Replies
510 Views
Kama uliona simu ambazo ni foldable kama Samsung Galaxy Z fold, Galaxy Z flip na simu nyingine kama hizo ambazo ni foldable fahamu pia kuna laptop imetoka ambayo pia ni foldable ambayo ni Huawei...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuongezeka kwa Biashara Mtandaoni: Fursa kwa Wajasiriamali Vijana Katika dunia ya sasa, mitandao ya kijamii si mahali pa kupoteza muda tuโ€”ni sehemu ya kujenga maisha bora. Vijana wengi wanaanza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu salamu! Kama heading ilivyo, naomba msaada kwa anayejua. Rafiki yangu aliweka pattern kama lock ya simu (aina ya Oppo F1s) siku chache zilizopita, sasa akaniletea ili niweze kumsaidia...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
NB: Ukichangia Toa Sababu Strong usiende na Upepeo lengo ni kujua kwanini tunatumia Simu zetu na kipi cha kujifunza ambacho hukijui Android ni Program endeshi(OS) inayotumika kwenye Brand nyingi...
10 Reactions
75 Replies
4K Views
Looking for a technical SEO expert with experience. Awe na uwezo wa kutatua matatizo yote yanayohusu site SEO ikiwemo Speed as per Google page speed.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
3 Reactions
2 Replies
845 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ