Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

wakuu jana nimenunua anti- virus ila baada ya ku install na ku update inaniambia kuna error na e scan anti virus monitor is not loaded. naombeni msaada jamani maana hii komputa imekuwa nzito sana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Najua unajua ila sio jambo baya kujua zaidi.Wengi tuna fb a/c ,tuna upload picha kila leo na kutag rafiki zetu.Je ulishawahi kufikiria kutumia account hiyo kama Photo Library kwa matumizi ya...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hi wandugu, Nnataka kuhamisha majina kutoka lumia 620 kwenda android. Cha ajabu hakuna option ya ku export contacts kama nilivyozoea kwenye android. Nataka majina yahamie kwenye pc ili niweze...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kilaptop changu kidogo cha samsung nataka kukiwekea window 8.1 lakini nimejaribu kuboot kupitia usb flash disk hakikubali. Nikijaribu install direct inaniambia we could not update the system...
0 Reactions
3 Replies
984 Views
Kwa jinsi nionavyo, TV1 wamejipanga kweli kwenye soko la Media tanzania; Tatizo wajihadhari na u-CCM na U-CDM, wasijiingize kabisa huko. Ni afadhali wasiruhusu kipindi chochote kinachohusiana na...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari ndugu na jamaa.hivi ni sehemu gani kwa dar naweza kupata video game nzuri ya kutumia kwenye tv yangu ya singsun.naombeni msaada wapi naweza pata video game
0 Reactions
4 Replies
827 Views
Bei 30000
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu habarini,tafadhali naomba msaada wa mtu mwenye setup za spss anisaidie mana nlizo nazo kila nkijaribu kuziinstall zinaleta meseji pls insert disk label sasa sijui tatizo ni nn??mashine ni...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Jamani naomba msaada wenu simu yangu tajwa apo juu ilikua inasumbua baadhi ya progaramu ninkaamua kufomart sasa kila kitu kimerudi kama mwanzo ila kwenye internet ndo inagoma wenye kujua namna na...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Kidume nimekwama baada ya mabasi kupata pancha .naomba msaada ni nunue net ya mtandao gani ambayo itakuwa rahisi kwasababu nina maassigment mengi. Au anaye jua maujanja aniPM.
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Heshima mbele wanajamvi ! Bila kuchelewa niende kwenye mada,mwezi uliopita nilinunua Huawei p1 ikawa na tatizo la kustaki nikarudisha dukani wakaniambia nisubiri watanibadilishia. Juzi wamenipa...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
hello guyz, can anyone help me unblock my huawei e173 broad band modem
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi la technologia Kama lilivyo jamvi la technologia. naombeni msaada wenu. Natumia huawei y 300. Simu hii inachukua mda mrefu kuload menu (coming back to menu).nini tatizo? ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
. Just now, we catched a report on a hackers news website-thehackersnews.com that they got a mail from a hacker named ’Dr.FarFar‘, who is actually claiming the hack of Facebook’s CEO Mark...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za mida wadau, huenda hapa pakawa sio mahali pake, but i jas wanna know which is best and safe website ya kudownload latest movies easly??? Au ni njia gani naweza kutumia kudownload movies...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hellow wana jf Nisaidieni mwenye kujua web site au blog ambayo itaniwezesha ku download videos za bongo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hail, lightining and gales came through the state's eastern region this summer thanks to scientist-puppetmasters. As a part of secret program to control the weather in a middle east...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Habar za kazi wakuu, nilikua naomba msaada jinsi ya kutumia tv mbili kutoka kwenye receiver moja kila tv iwe na uwezo wa kubadili chanel bila kuathir nyingine, hasante saana wakuu
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Juzi nimepita madukani nikakuta Nokia Lumia 1320 inauzwa 650,000 na Lumia 920 inauzwa 800,000 Naomba mnisaidie kwanini hii latest inauzwa cheap na hii 920 inauzwa still ghali. Hapa inakuwaje?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
nisaidien ivi DLNA hii connection ni inakubali huawei to huawei au to any device yenye Wi-Fi.?
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…