Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ninaomba kufahamu namna ya kujiunga na kile kifurushi cha tigo cha bila kikomo cha sh1000 ambacho kikomo chake ni mpaka kimalizike.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello, kwa yeyote alienaproduct tajwa hapo juu au mwenye Connection ya hii kitu naoma ani-PM. Hata kama upo mbele naoma tucheckiane, naitafuta hii mambo. Regards, Chief
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Habari wakuu, kwanza poleni na majukumu. Wanateknolojia naomba maelezo ya kina kuhusu RAM, ROM, CPU,MEMORY, mana nachojua ni RAM is used to store data and program instructions. sijui inafanyaje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu..Nina shida tatu ambazo kila nikiingia net lazima Pc yangu iniletee hizi mambo ingawa sizipendi hata kidogo hivyo naomba mwenye sokution anisaidie..Tafadhali,tumia lugha nyepesi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Okay wadau kama mnakumbuka previous niliongelea launcher ilikua inaitwa "SOLO LAUNCHER" kama ilikupita kaitazame hapa Furahia simu yako hapa ... Okay leo nawaletea launcher ingine matata sana na...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wanajukwaa! Sio siri kuwa website ina nuru kubwa na taswira pana sana ya tech! Na kuzingatia hili ndo maana nikaleta special thread hii kwa ajili ya kujadili, ku share na kushauriana kuhusu haya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu ka ideos kangu kamejilock pattern, kanaomba email lakin data iko off je njia gan ya kunlock
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi karibuni Channel ten wamebadili frequency. Mwenye frequency mpya tafadhali naomba anisaidie!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naitaji IT person amabe ataweza kunitengenezea application km vile facebook na whatsapp.....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
It was a very huge loss mimi n mmoja WAPO Wa walioathirika na hilo baada ya Airtel kukatisha huduma net bure lkuanzia SAA 11:00-6:00 asubuhi
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu kama ilivyo kuwa mtandao ambao ulikuwa na gharama nafuu za vifurushi vya mitandao ni Airtel pekee na kwa sababu hiyo walipata wateja wengi sana hadi hivi karibuni kasi yao ya internet kuwa...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Kwa mwenye kufahamu simu nzuri ya Huawei aniambie na gharama ikoje.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Desktop .. Unachoitaji ni Simu yako ya android na App inayoitwa C4droid.. kwa kutumia app hii unaweza kuprogramme GUI apps kwa kutumia libs za Qt na SDL. pia unaweza kuprogramme CLI app...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wajambo wakuu? Natafuta Tecno P5 mpya kabisa yenye quality nzuri. Naogopa kutapeliwa au kupata feki. 1. Je, kwa Dar es salaam nani ma ajenti wa simu za Tecno ? 2. Tecno P5 inauzwa TSh. ngapi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HUAWEI ASCEND Y300 zinazotangazwa sana kua zina promo ya muda wa maongezi wa miezi sita nitaipata wapi kwa hapa dar? Nimeenda tigo shop ya hapa buguruni naambiwa haziko sokoni kwa miezi mitatu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa wataalam wa magari naomba kujuzwa hivi kama gari ipo off na milango yote imefungwa; kama mtu yupo ndani anaweza pata hewa ya zoxygen
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Angalia Tutorial yangu kuhusu jinsi ya kupata Product yoyote ya Autodesk including : 3ds Max, Maya, AutoCAD, Revit na nyenginezo! Kama hauzifahamu au huna kazi nazo please pita tu kistaarabu...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
habari za mda huu wakuu Nina rafiki yang ana Tecno m3 imestuck on logo....akiwasha inaishia kwenye logo ya tecno tuu na haitaki kuendelea yan kuwaka na kuwa tayari kwa ajili ya matumizi na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwenye kifaa tajwa hapo ani pm
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuformat katecno kangu,, kwa yeyote anaye jua
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…