Habar wakuu naomba kuuliza, ni chuo gani wanatoa koz za namna hiyo au kuendana na hiyo koz, kwa anaejua hata ikiwa ni certificate, diploma or degree.
Natanguliza shulrani
Niaje Wakuu
Leo Nimekuja na Elimu Kidog Kuhusu Google Adsense.Najua Sio Kitu Kigeni sana Masikion mtakuwa mmewahi kusikia jinsi Adsense inavyofanya Kazi.Baada ya watu wengi kulalamika kuhusu RPM...
Naomba kujua ipi ni bora katika nyanja za processor, screen ku-scratch au kupasuka, camera etc.
Yani incase umeambiwa uchague moja utachukua ipi?
cc Chief-Mkwawa
Naomba wajuzi wanisaidie,kama vipi nitalipia huduma husika.
blog yangu/yetu hapo chini imepigwa na kirusi.iko pinned na domain ya .co.tz
hata ukiondoa hiyo domain bado tatizo ni hilo hilo...
Mambo zenu wataalam,
Naomba msaada wa simple point of sale software ambayo inaweza ikatumika kwenye retail pharmacy/shops.
Iwe na:
Uwezo wa kuvuta current stock with total cost of items
Kutrack...
Habari wanajamii nipo na simu yangu na iuza ni samsung galaxy A3 original.. nimeitumia siku kumi na mbili pekee nimeiuza kutokana na kupata ingine kubwa galaxy A7
Bei laki 5 maelewano yapo...
habari za siku ya leo wapendwa. mimi na shida na mchuchu wangu wa z3. yan hii simu inapga kazi vizuri mno kwa shughuli zote. tatizom ni moja tu linanisumbua sasa nkiweka line ya airtel haifungui...
Hey hw are you,, Nina tatzo na tecno 6 sometimes naweza kua na play music af kanatokeA kimsg kwa mfano 'unfortunately measure has stop' naomben possible solutions wadau
Authored by: Said Zowange
Install Windows 7/8/XP Dual Boot on Android Mobile/Tablet
Hi guys, today i come with an interesting article about How to Install Windows 7/8/XP Dual Boot on Android...
Niaje developer ! Nataka nianzishe video library tutorials za IT kama web development, database, hacking an security issues n.k. Nipo katika development , nimejaribu kuweka picha ya prototype...
Leo.nilikuwa naelekea kununua king'amuzi cha azam .nilipoingia tu duka la kwanza yule muuzaji kaniambia kuwa hicho king'amuzi cha azam hawana na hata maduka mengine siwezi kipata .nilipomuuliza...
wakuu habari zenu,napenda kuleta ka uzi haka kwenu ili nipate mualobaini wa matatizo haya yahusuyo sd card.ninatumia simu huawei y 530 pia nina sd card 8 GB,tatizo ni kuwa nasumbuliwa sana na...
Wakuu poleni na kazi,
Napenda ku share frustration zangu baada ya kutokutimiza lengo la kununua smartphone ninayoipenda kwa bei tajwa hapo juu. Kwanza kabisa mimi si mpenzi wa kitu chochote...
Wasalaam wana Jf..
solar charger inaonyesha iki chaji betri hata usiku wa manane.
nimejaribu kufungua nyaya za kutoka kwenye solar panel hadi kwenye solar charger haijabadilisha kitu.
nini...
Ghafla tu katika kuichezea nikaiharibu, Tatizo lake alama ya nyota na reli ndio hazibonyezeki yani hazifanyi kazi! Ila uki-press moja kwa moja katika kila alama nyota na reli hutokea alama ya P na...