Wakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk
Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina...
Habari wadau humu jukwaaani,
Kama pengine kuna member ana simu tajwa hapo juu maybe imekufa mashine au shida ingine.
Mimi mdau mwenzake nina uhitaji wa kioo cha simu kama hiyo, kama yupo...
Habari za mda wadau wa jf.
Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen...
TikTok itafungwa 2025
TikTok itakutana na rungu nchini marekani ifikapo January 2025 itakua mwisho kutumika nchini marekani. Ikiwa byte dance atashindwa kuuza hisa zake kwa wamarekani...
Teknolojia hii balaa
Kutana na jamaa mmoja anaitwa Tomas Vega mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Augmental, ameleta teknolojia mpya ambayo itaweza kuwasaidia wale watu wenye tatizo la...
Kampuni ya apple imesema itatoa Zawadi ya dola milioni moja kwa yeyote atakayeweza kudukua mfumo wao mpya wa seva za akili bandia (AI) kwenye apple intelligence.
Kampuni hiyo iliweza kutangaza...
Habari wakuu,ninaomba msaada kwa wale wazoefu wa kuagiza vitu Aliexpress,nilinunua bidhaa tarehe 18/09/2024.Percel ikafka Dar es salaam Tanzania tarehe 28/09 mm nipo Mkoa wa Tabora nikajua...
Hello!
Msaada jamani waliowahi kufanikiwa na hizi remote jobs Huwa wanatuambia njia zipi maana Huwa naapply cjawahi pata na nasikia Kuna watu wanapata tupeane Siri angalau tupate kupata kipato...
Njia ya kwanza ni [emoji116][emoji116]
KUFANYA ACTIVATION WINDOW 10 NA WINDOW 11
Kompyuta Yako inadai activation? Umeshindwa kufanya Activation ya windows Kwenye kompyuta Yako ?
Usijali Leo...
Binafsi mimi ni mpenzi wa muziki mno ninataka kesho nichukue JBL au Anker. Ila nasikia wadau wa muziki wanasema Anker ni nzuri zaidi kuliko JBL. Je, kweli kwa mliowahi tumia hizi bidhaa...
๐๐๐ป๐ฑ๐๐ธ๐ถ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐น๐ถ๐บ๐๐ฒ๐ป๐ด๐๐ป๐ถ
Bunduki hatari ulimwenguni ni Ak 47 ambayo iligunduliwa miaka ya nyuma na mtu mmoja kutoka nchi ya urusi anaitwa Mikhail Kalashnikov.
Wanasema Uvumbuzi ni kitu kizuri...
๐๐ฒ ๐๐บ๐ฒ๐๐ฎ๐ฝ๐ฒ๐น๐ถ๐๐ฎ ??
Hivi unajua Jeshi la polisi nchini Tanzania lina app yake yenye kukusaidia kupata taarifa mbalimbali kupitia simu yako kwa urahisi na inafanya kazi kwa asilimia ๐ฏ.
Tuko kwenye...
MUONGOZO WA PROGRAMMING NA UTEKELEZAJI WAKE KATIKA MAZINGIRA HARISI.
SOFTWARE ENGINEERING
Ni taaluma ambayo inatumia kanuni za uandisi (engineering principal) ku design, kutengeneza, kuboresha...
Habari wana JF,
Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo.
Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza...
Nina tv ambayo sio smart. Sasa kuna jamaa amenishawishi ninunue tv box ili niweze kupata access ya kustream movie na mechi kwa kupitia tv box kwenye tv yangu.
Je ubora wa hizo tv box upoje?
Vp...
Habari wadau
Natafuta simu zangu mbili zilizoibiwa . Polisi waliniahidi kuwa zitapatikana lakini sasa nakaribia mwaka
Ila niliambiwa wapo vijana wa IT wanauwezo wa kutrack simu na kuzipata.
Naomba...
Miaka ishirini imepita tangu kuachiliwa kwa GTA San Andreas, moja ya michezo inayopendwa na kuheshimiwa zaidi katika tasnia ya michezo ya kielektroniki. GTA San Andreas ilibadilisha standard ya...