Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimewaza baadhi ya matukio kati ya simba na Yanga katika kuwafurahisha washabiki wake . Nani kati Simba na yanga nga ni timu ya matukio .. anayefanya matukio ya kumkomoa mwenzake zaidi ili...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Uongozi wa Simba SC kwa kuamua kutafuta Mechi Tatu Kubwa za Kirafiki za Kimataifa hasa katika Kipindi hiki cha Mapumziko cha Wiki Mbili. Tarehe 28 August 2022...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeangalia gemu ya juzi ya Simba vs kagera sugar nimemuona mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba anayewakilisha wanachama Bw.Mwina Seif Kaduguda akiwa amevalia jezi ya Simba ikiwa na nembo ya...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Karim Mandonga leo katika pambano la kuhamasisha Sensa , lililopigwa kwenye viwanja vya Leaders Club amepiga mtu 1st roound na kumaliza ubishi .
10 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari wana jf sports Acha tuseme ukweli penye ukweli Bado kuna kitu hakipo sawa, kwenye timu ya simba hata timu kuanzisha mashambulizi kwenda mbele ni tabu wanacheza sana back pass muda...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Sasa na wewe usiwe kilaza hapa Jf ni the home of the Great Thinkers. Nimesema Karim Mandonga ndio " Mike Tyson" wa ngumi za Tz kwa sasa , sijasema ni Mike Tyson. Mike Tyson is not the same as "...
11 Reactions
62 Replies
7K Views
Hata mtu asiye na taaluma ya uamuzi wa mpira anajua kuwa Kayoko ameishindwa kwa makusudi mechi ya Polisi vs Yanga. Isipite hivihivi bila adhabu.
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Nani kuibuka mbabe!?
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Kuna siku nilipost hapa kabla ya mechi ya Simba na Yanga ni kasema Yanga hii sio watu wa maneno mengi kama Simba tupo kama Vladimir Putin tuna kupiga kwa vitendo sio kwa maneno Simba wana maneno...
3 Reactions
5 Replies
513 Views
Kelele nyingi sana kumbe timu lenyewe kama mandonga tu. Wachambuzi wote wamehongwa waipambe timu hii.Pamoja na kupigwa leo wataendelea kusifiwa tu
2 Reactions
7 Replies
813 Views
Mabondia Karim Mandonga na Shaban Kaoneka wamerudi tena kwenye headlines kufuatia kauli ya Shaban Kaoneka aliyoitoa jana akizungumza na Wasafi. "Mandonga amepata bahati kuliko mimi, waandishi wa...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa tunaojua boxing hii ni kawaida stunts kama hizi. Ila kibongo-bongo Mandonga kazidi mikwara. Kama una roho ndogo unaweza usitokee ulingoni. Kesho sio mbali Mandonga Vs Kaoneka
14 Reactions
79 Replies
9K Views
Huu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha...
14 Reactions
35 Replies
3K Views
Baada ya kuanza msimu vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo, Manchester United imeamka na kuipa Liverpool kipigo cha magoli 2-1 katika mtanange wa Premier League kwenye Uwanja wa Old Trafford...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama Magufuli alivyo saidia Tanzania kuwa maarufu saana nje ya Africa na ndani ya Africa kutokana na misimamo yake Na Mayele naye amesaidia league yetu kuwa maarufu saana inje ya Tanzania na...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Cedric Kaze nakukubali sana Mwalimu unajua sana kukaba mashabiki lia lia tunajua kuwa Yanga haifungiki sasa msimu huu mbona naona kama Yanga haiko imara sana pasi si nyingi kama mwaka jana, uwezo...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kushabikia #utopolo ni dhambi na wanaoshabikia lunyasi wazee wa Tanzania na Africa na wana julikana kote duniani kwamba muwakilishi wa Tanzania inajulikana simba pekee na hakuna kidume zaidi yao...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, Agosti 20, 2022
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Kwa watu ambao wanajua tactics za mpira vizuri watakubaliana na mimi. Yule kocha wa Geita gold ni kocha mzuri sana na ana mpira wa kisasa zaidi. Ukicheki jinsi Geita Gold wanavyocheza...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Simba imemalizana na Cesar Manzoki na sasa striker huyo ambaye alikuwa akililiwa mno na mashabiki kiasi cha kutaka kusababisha taharuki atavaa uzi mwekundu, ataanza kuonekana dimbani kwenye gemu KMC.
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom