THE STORY OF CHANGE IN TANZANIA 2024---AFYA, ELIMU, AJIRA NA BEI ZA VITU. KWANZA
Mwaka 2024 watanzania wanatamani kuona mabadiliko mbalimbali chanya ususani katika sekta za Afya,Chakula, elimu na...
Mabadiliko ya teknolojia katika tasnia ya habari yamekuwa muhimu sana katika kuleta uhuru wa vyombo vya habari. Teknolojia imewezesha upatikanaji wa habari kwa haraka zaidi na kwa njia rahisi...
Ulimwengu umepita katika zama tofauti tangu uwepo wake hadi sasa tulipo. Zama hizi za sasa za taarifa ni moja kati ya zama ngumu na muhimu sana kwa jamii kwa sababu bila kuwa na taarifa jamii...
Utangulizi
Katika miaka ya hivi karibuni uhalifu wa kimtandao umekuwa tishio kubwa sana kwa wafanyabiashara, makampuni na mataifa mengi duniani.Tanzania kama nchi zingine imekumbwa na tishio hili...
Katika kipindi cha miongo michache iliyopita, Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, changamoto za utawala bora bado zinabaki kuwa kikwazo kikubwa katika...
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa wingi wa mali asili zinazojumuisha madini, misitu, wanyamapori, ardhi yenye rutuba, na vyanzo vya maji. Kwa miaka mingi, mali hizi zimekuwa zikivutia...
Nishati mbadala ni nishati inayotokana na vyanzo vya asili ambavyo havikomi au vinaweza kurejeshwa haraka, kama vile jua, upepo, maji, na vyanzo vya jotoardhi. Hii ni tofauti na nishati...
Hizi ni athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji
1. Kuungua
Simu zinazotumika wakati wa kuchaji zinaweza kuwa na joto zaidi. Hii inaweza kusababisha kuungua kwa ngozi ikiwa itaguswa kwa...
In envisioning the development of a better Tanzania in the coming years. It’s important to create a plan that fosters holistic progress, addresses key challenges and maximizes opportunities for...
UTANGULIZI
Changamoto ya ajira hapa nchini imekua tatizo linalokua kwa kasi huku vijana wakiwa ni waathirika wakubwa. Hivyo serikali iweke mikakati madhubuti itakayotokelezeka haraka ili kupunguza...
UTANGULIZI:
Kumekuwa na mtafaruku haswa inapotokea Ajali iwe barabarani au mtaani kutokana uzembe wa dereva na kusababisha madhara fulani, lakini kukawana uzito katika kutoa Adhabu kutokana na...
UTANGULIZI
Data au Taarifa ni kiini cha maendeleo katika taifa. Taifa lililoendelea na linaloendelea hutegemea data (taarifa), namna nchi inavyokusanya taarifa,kuzihifadhi,kuzichakata na kupata...
Mfuko wa maendeleo ya jamii ulioanzishwa mnamo mwaka 2000 katika moja ya lengo lake lake la kuinua kaya masikini kwa kuwapatia kiasi cha fedha za kujikimu kulingana na mahitaji husika mfano...
Uchaguzi wa Mwaka 2015 Idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ilkua 23,161,440 ,waliojitokeza kupiga kura ni 15,596,110 sawa na 67.34%.
Mwaka 2020 idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ilikua...
It is clear that we all agree that the growth of ICT in the world has contributed to the advancement of development and the simplification of life globally.
This is one of the indicators for...
Mwanzo
Tanzania ni nchi ya muungano wa kipekee duniani ambayo serikali yake inaundwa na mihimili mitatu yaani Serikali kuu, Bunge na Mahakama. Bunge kama chombo mhimu cha kutunga sheria na...
Tanzania iko kwenye kilele cha zama za mabadiliko. Ulimwengu unabadilika kwa kasi isiyo na kifani, na ili kuhakikisha taifa letu linastawi, ni lazima tukuze maono yenye mwelekeo wa siku za usoni...
Namshukuru Mungu nami kupata nafasi ya kuchangia mawazo yangu katika kuitafuta Tanzania tuitakayo. Maoni yangu yatajikita katika mapinduzi makubwa ya kilimo Kwa maana ya ukulima wa mazao ya...
Current Examination System
Currently, university exams in our country typically follow a traditional format where students are given a set of questions on the day of the exam and are required to...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.