TANZANIA TUITAKAYO
MWANZO WA ANDIKO
Katika karne hii ya 21, hapana shaka ya kuwa mapinduzi ya sayansi na teknolojia yamekuwa ni makubwa kiasi cha kuleta mapinduzi makubwa ya viwanda sehemu...
Nilipokuwa mdogo wazazi wangu hawakuacha kunisisitiza nizingatie masomo kwani elimu ni ufunguo wa maisha. Wazazi waliamini wakitupeleka shule nzuri na kutupatia elimu bora basi maisha yetu...
Chanzo: Safari Media
VITUO VYA HUDUMA JUMUISHI.
Ni namna ya kusogeza huduma karibu na wananchi.
Ni mjumuiko wa taasisi/mashirika ya kiserikali na binafsi katika eneo moja ili kutoa huduma kwa...
Utangulizi
Jamii ya watanzania tunaelekea katika mambo yanayobeba mustakali wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. kipindi cha mwaka 2024-2025 tutashiriki mambo makuu matatu ambayo yatabeba...
Infrastructure in this context will refers on all transportation networks, roads, railways ports, on the other hand, Agriculture includes Domestication, and cultivations of animal and crops...
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kumpongeza Mh Raisi Mama Samia pamoja na viongozi wote wanaopambana usiku na mchana kwa kuhakikisha Taifa hili linajengeka vyema nakuwa imara kila leo, uku...
UTANGULIZI:
Tanzania inatakiwa kuwa na malengo ya kuwa nchi yenye usawa wa kijinsia na kuheshimu haki za binadamu kwa wote. Moja ya changamoto kubwa ni ukatili wa kijinsia na ndoa za utotoni...
Tanzania imekuwa ikikumbwa na changamoto ya ajali za barabarani ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa vifo, ulemavu na uharibifu wa Mali na vyombo vya usafiri. Katika taarifa zinazotolewa nyingi...
Malezi
Malezi ndio Msingi bora wa kutengeneza watu bora na watu wa maana katika nchi ,malezi yasipokuwa mazuri kwa watu hakika tutatengeneza Tanzania ambayo itakosa kuwa na viongozi wazuri na...
UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI
Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya...
JE SIASA MCHEZO MCHAFU?
1. Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi
2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais
3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu
4. Mchezo huu...
Awali ya yote nipende kutoa pongezi kwa timu mbalimbali za michezo pamoja na wawekezaji wake hapa Tanzania( Simba na Yanga) zimejitaidi kadri ziwezavyo kulitangaza soccer la Tanzania kwa kila...
Utajiri: Utajiri ni namna ya kuwa na vitu vingi vya thamani na kuwa na vyanzo vya mapato ambavyo vinamilikiwa na mtu au nchi .Tanzania imebalikiwa na katika utajiri wa vitu vingi sana vya...
SEKTA YA ELIMU
"ELIMU" ni msingi katika maisha ya sasa naya baadae. napenda kuzungumzia kuhusu utoaji wa na ufaulishaji wa shule za serikali haswa za kata na nyinginezo. ili tuweze kuifikia...
In the heart of East Africa, Tanzania stands at a crossroads. For too long, its justice system has relied on speculation and circumstantial evidence to prosecute suspects, often resulting in...
UTANGULIZI:
Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo...
Kutokana na kila kiongozi /watumishi wanao teuliwa na viongozi wakuu ,mfano rais kuendeleza ufisadi karibu kila secta. Kutungwe sheria maalumu itakayo tumika kuwa filisi ,kutaifisha mali za...
SIMBA, YANGA WAMEAMUA KULALA, WAAMKE WAWE MATAJIRI
Binafsi nimekuwa mpenzi wa moja wa timu zetu pendwa hapa Tanzania. Nimekuwa mmoja wa wanunuzi na wachangiaji wazuri wa kununua bidhaa pamoja na...
Mpango huu wa kina unaonyesha ramani kabambe ya miaka 15 ya kuleta mapinduzi katika sekta ya elimu ya Tanzania, kushughulikia masuala ya kimfumo yenye mizizi mirefu na kulipeleka taifa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.