Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

1 Vote
"Serikali yenu, tunajua tatizo la ajira na tutajitahidi kutengeneza fursa mbalimbali ili vijana wapate ajira.” Leo ni tarehe 9 Juni, 2024, takribani miaka miwili na miezi yake kadhaa tangu kauli...
1 Reactions
0 Replies
319 Views
Upvote 1
1 Vote
Tanzania, pamoja na eneo lake la kipekee la kijiografia kando ya ikweta na eneo kubwa la ardhi ya asili, inasimama kama mwanga wa matumaini kwa urejesho wa viumbe vilivyo hatarini kutoweka. Dira...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Upvote 1
2 Votes
Utangulizi. Migogoro ya ardhi nchini ni mingi sana,kinachopelekea uwepo wa migogoro hii ni utaratibu na mfumo wa urasimishaji ardhi kuwa na mapungufu mengi ambayo yanaruhusu mianya ya ulaghai kama...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Upvote 2
0 Votes
1.Utangulizi Tanzania ni nchi inayo ongozwa na demokrasia.Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo mamlaka kuu ya serikali imewekwa Kwa watu. Mfano wa demokrasia,serikali yetu huchaguliwa na...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Upvote 0
4 Votes
UTANGULIZI Nchini Ta nzania, tangu tupate Uhuru Mambo ya ukatili kwa watoto yamekuwa yakiripotiwa siku Hadi siku na vyombo mbailimbali vya habari. Ukatili umekuwa ukitokea kwa njia mbalimbali...
3 Reactions
2 Replies
416 Views
Upvote 4
1 Vote
1.0 Utangulizi. Jeshi la polisi la Tanzania, ni kati ya majeshi mengi Afrika ambayo yanalaumiwa sana na wananchi kwa ukiukaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu ikiwemo kuua raia katika...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Upvote 1
13 Votes
Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu. Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Upvote 13
1 Vote
Tanzania ni nchi yetu iliyojaa amani, umoja, mshikamano na upendo. Jambo kubwa na la msingi ambalo linahitajika na kufaa katika dira ya nchi yetu kwa miaka ijayo ni kama ifuatavyo SUALA LA KATIBA...
2 Reactions
0 Replies
270 Views
Upvote 1
1 Vote
Tanzania huru Tanzania tuitakayo ni ile itakayo mupa uhuru wa kutoa maoni kuhusu selikali yetu , Siasa huru. Siasa huru ni ile inayo mpa mwanachama au mfuasi wa hicho chama kutoa maoni...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Upvote 1
5 Votes
Bunge ni chombo muhimu sana kwenye nchi yoyote, na ndicho chombo chenye dhamana ya kutunga na kupitisha sheria mbalimbali katika nchi husika. Hapa kwetu Tanzania kuna mabunge mawili la Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
399 Views
Upvote 5
1 Vote
Nadhani ili taifa liweze kuendelea na kupambana na matatizo ya kiuchumi nilazima mfumo wa utawala ubadilike. Kwanza idadi ya vyama vya siasa ipungue Pili iundwee selikali ya kitaifa ambayo vyama...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Upvote 1
2 Votes
NAMNA YA KUFIKIA MALENGO YA MAENDELEO YA MILENIA Malengo ya maendeleo ya milenia ni seti ya malengo yanayolenga kuboresha maisha ya watu duniani kote.ingawa malengo yenyewe yamebadilishwa na...
1 Reactions
0 Replies
432 Views
Upvote 2
2 Votes
Kwa maono yangu Tanzania tuitakayo kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa na vingine kuondolewa kwenye sekta ya Elimu. Mfano mitaala ya Elimu ya sasa haimuandai mwanafunzi muhitimu, kupata...
1 Reactions
0 Replies
453 Views
Upvote 2
1 Vote
UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Upvote 1
1 Vote
Si hayo unayofikiri kuwa, bali ni mambo yaliokuwa ni hulka Kwa waja na kuwa ahadi yenye thamani kama Vito, iliyoaminika kuwa ni ndoto ya abunwasi kumbe hata Malkia mchwa anaweza kufanya ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Upvote 1
1 Vote
I. Seeds of Despair, Seeds of Hope Mzee Juma, his hands calloused from years of toil, holds a handful of shriveled cashew nuts, a stark symbol of the crisis gripping Tanzania's cash crop sector...
1 Reactions
0 Replies
489 Views
Upvote 1
0 Votes
Vocational education is a practical skill and real- world application over theoretical knowledge involves hands approach. In schools it's like planting for the future careers by introducing...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Upvote 0
0 Votes
Climate change refers to changes in the weather patterns of a specific area, which include rising temperatures, droughts, increased flooding, and shifting rainfall periods. Climate change has...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Upvote 0
0 Votes
Our Farms, Our Profits: 10 Years to Affordable Fertilizer, Technology as the Solution The Tanzanian sun beat down relentlessly on Mzee Juma's back, a stark contrast to the cool relief he usually...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Upvote 0
0 Votes
1. Ninalo wazo bunifu, Ila mwenzenu nahofu, Wapo wenye nia chafu, Wanoweza nizulia. 2. Ninaposhusha usuli, Uhusuo serikali, Wenye hiba na adili, Wao wataupindua. 3. Watazua yaso mana, Ambayo...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom