Unakuta kuna uhaba wa ajira sekta fulani mfano uhandisi, ualimi, udaktari na sekta mbali mbali.
Lakini kuna watu wengi ambao wapo katika hizo fani na wengine wanafanya kazi ambazo hata haziwapi...
SCOPE YA TATIZO: Tangu kuanza kwa karne ya 21 Taifa limekuwa katika mageuzi makubwa ya kuasili mifumo mbalimbali ya Tehama, lengo likiwa kuendana na ulimwengu. Mageuzi haya ya utandawazi...
Tanzania Tuitakayo: Ajira na Tenda kwa Miaka 25 Ijayo
Utangulizi
Katika kijiji kidogo cha Mkwajuni, kulikuwa na kijana mwenye ndoto kubwa, Juma. Alikuwa na elimu ya chuo kikuu lakini alipambana...
Utangulizi:
Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi...
Moja - Itengwe bajeti ya kutosha katika sekta hii; zitolewe fedha ambazo zitakidhi mahitaji ya sekta ya (UCHUKUZI), hata kama sio kwa asiilimia mia moja. Hii itasaidia miradi mfano...
Ili kuendana na teknolojia ya dunia na kukimbia kwa kasi tunapaswa kuwa na teknolojia ambayo itaketa vitu vingi Kwa pamoja na kurahisisha huduma katika sehemu moja
Moja ya huduma hizi ni pamoja...
TANZANIA TUITAKAYO.
Tukumbuke jina Tanzania halikuwepo kabla ya 26/4/1964, lakini ardhi na mipaka yake ilikuwepo. Hivyo pamoja na uumbaji wa Mungu, lakini utashi wa mwanadamu uliweza kuamua...
UTANGULIZI.
👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza...
Sekta ya ajira nchini Tanzania inalazimika kukabiliana na changamoto kadhaa, ikiwemo upungufu wa wafanyakazi wenye stadi na ujuzi unaotakiwa katika soko la ajira. Hili limekuwa ndio changamoto...
Kwa majina naitwa Praygod Kweka jina La sanna (Baghdad) Nasibu KATIBU Mkuu Tuma - Chama cha muziki wa kizazi kioya, ni Msanii wa fan I ya hip hop mtunzi wa Movie, Muongozaji wa movie na mtangazaji...
UTANGULIZI
Kwanza ninamshukuru Bwana Mungu na kuniwezesha, kunipa Afya njema. Pia nashukuru Jamii zote za hapa Tanzania kwa Sekta zote za Kijamii na ninatoa shukrani katika Uongozi uliopo katika...
Introduction
Tanzania stands at a pivotal juncture in its development trajectory. As the nation looks towards the future, it is imperative to envision a comprehensive roadmap for the education...
Kuchochea Maendeleo ya Miundombinu Bora ya Tanzania katika Miaka 20
Miundombinu iliyoboreshwa ni nguzo muhimu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika taifa lolote. Kwa Tanzania, kuhakikisha...
MFUMO WA TEHAMA UTAKAODHIBITI URASIMU KWENYE SEKTA YA HAKI
UTANGULIZI
Mimi ni kijana ninaesomea sheria hapa Tanzania. Mwezi uliopita nilijitolea kwenye kliniki ya msaada wa sheria kwa ajili ya...
Utangulizi: Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya pili katika bara la Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya mifugo ikitanguliwa na Ethiopia,Hata hivyo pamoja na wingi huo wa mifugo lakini...
MIKAKATI BORA YENYE KUJALI MASLAHI YA WAAJIRIWA PAMOJA NA WASTAAFU.
Utangulizi
Tanzania, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kuhakikisha maslahi bora kwa wafanyakazi na mikakati endelevu kwa...
Utangulizi
Uchovu wa wafanyakazi katika sekta ya umma ni tatizo la kimataifa linalojulikana kwa kuchoka kihisia, kupoteza ari ya kazi, na kupungua kwa hisia za mafanikio binafsi. Hali hii ni ya...
Utangulizi
Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa...
Tanzania iko katika wakati muhimu katika historia yake. Dira hii inaangazia hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kutokomeza ubaguzi wa kijinsia, kukomesha ndoa za utotoni, utumikishwaji wa watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.