Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

6 Votes
Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo. Hivyo serikali inatakiwa...
2 Reactions
2 Replies
342 Views
Upvote 6
5 Votes
By considering our ouwn natural resources and dealing with the following we can build the well economized country. Bay: Coastal Tourism: Develop eco-friendly tourism along the bay. Promote...
2 Reactions
2 Replies
353 Views
Upvote 5
7 Votes
Ujinga, maradhi na umasikini ni maadui ambao wamekuwa wakiitesa nchi ya Tanzania na kati yao ujinga ndiye adui kuu anayewapa nguvu wengine. Maana mojawapo ya ujinga ni ile inayosema kuwa ni...
2 Reactions
5 Replies
502 Views
Upvote 7
1 Vote
MAGEUZI #IDADI YA LAINI ZA SIMU #MIUNDOMBINU YA KUWASILIANA. Kwasababu kama barabara zetu za Tanzania ni moja baina ya wapingani wa wili, kwanini na njia za mitandao ya simu isiwe ni moja? Mfano...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Upvote 1
2 Votes
Kwa miaka kadhaa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana wasomi mtaani wasio na ajira, jambo hili limekua likiwavunja moyo wanafunzi waliopo mashulen kwa wakati husika na kupelekea wanafunzi wengine...
1 Reactions
0 Replies
276 Views
Upvote 2
2 Votes
I. Amina's Story: A Call to Action What if the key to unlocking Tanzania's future lies not in gleaming skyscrapers or bustling ports, but in classrooms without roofs and hospitals without...
1 Reactions
2 Replies
411 Views
Upvote 2
2 Votes
Kwa furaha zaidi ningependa kumshukuru mungu kwa kunipa afya njema na kunipa pumzi kwa kila siku mpya. Nimeleta mawazo yangu kwenye jukwaa hili yaweze kuleta chachu na mwanga kwenye sekta...
1 Reactions
0 Replies
225 Views
Upvote 2
1 Vote
Makala: Vyama Vingi ni Chanzo cha Ufisadi na Umaskini Tanzania? Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa demokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Hata...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Upvote 1
2 Votes
Uwazi na uwajibikaji thabiti katika uongozi; ikiwa taifa litatunga sera,sheria na miongozo ambayo itakwenda kuzilazimisha tawala/watawala kua wawazi katika utendaji na utekelezaji wa shughuli za...
1 Reactions
0 Replies
250 Views
Upvote 2
2 Votes
Ili Mwanadamu yoyote aweze kufanikiwa na kupiga hatua katika nyanja mbalimbali lazima awe na afya iliyo imara na Njema, hivyo Afya ni suara Muhimu Kwa Taifa lolote lile. Katika kuifikia Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
231 Views
Upvote 2
2 Votes
Tanzania can leverage its coastal resources, railway system, and fishing activities to build a better future over the next 5 years: Bahari ya Hindi (Indian Ocean): Sustainable Marine...
1 Reactions
1 Replies
393 Views
Upvote 2
2 Votes
Ukoloni mamboleo ni mfumo wa kidunia ambapo nchi zilizostawi zinadhibiti na kunyonya rasilimali za nchi zinazoendelea kwa njia zisizo za moja kwa moja, ikiwemo kupitia mikataba ya kiuchumi, msaada...
1 Reactions
0 Replies
973 Views
Upvote 2
3 Votes
Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto kadhaa linapokuja suala la kuanzisha biashara. Changamoto hizi zinajumuisha urasimu wa kisheria, upatikanaji wa vibali...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Upvote 3
1 Vote
Habari zenu watanzania wenzangu, nawaomba msishtushwe na kichwa Cha habari nilichoweka hapo juu.mnaweza mkajiuliza "huyu anataka kusemaje tena?"😂 Au "muhuni au mwizi amefikaje kwenye jukwaa hili...
2 Reactions
5 Replies
370 Views
Upvote 1
2 Votes
Elimu ya Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi kutokana na kutokuwa na mtaala unaoendana na maendeleo ya sayansi na teknolojia.pamoja na kwamba serikali inajitahidi sana kuboresha na kuanza kwa...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Upvote 2
3 Votes
Habari wana jukwaa. Ni ukweli usiopingika kuwa maandalizi ya mtu mzima huanza utotoni, na hii ndio sababu binadamu hupewa elimu kuanzia kwenye umri wake wa utoto ili imsaidie kwenye utu uzima...
1 Reactions
0 Replies
262 Views
Upvote 3
3 Votes
1. Maendeleo ya Kiuchumi: Kuunda mazingira wezeshi kwa ukuaji wa viwanda, kilimo cha kisasa, na biashara endelevu kwa lengo la kupunguza umaskini na kuongeza mapato ya wananchi. 2. Elimu Bora...
0 Reactions
3 Replies
426 Views
Upvote 3
1 Vote
Sera na Sheria Muhimu za Kuleta Usawa wa Kijinsia kwa Jinsia Zote Mbili: Wanawake na Wanaume Sera za Kuleta Usawa wa Kijinsia 1. Sera ya Fursa Sawa za Ajira. Sera hii inahitaji waajiri kutoa...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Upvote 1
1 Vote
Serikali kwa kiasi kikubwa imewekeza maeneo ya mjini na kutoweka nguvu kubwa maeneo ya vijijini kwa mfano asilimia 95% ya viwanda vipo mjini hivyo basi nimatumaini yangu kuwa miaka ijayo...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Upvote 1
3 Votes
Tanzania's Agricultural Renaissance: Bridging Borders, Cultivating Commerce In the heart of our beloved Tanzania, a silent revolution is underway, one that transcends borders and connects us to...
1 Reactions
0 Replies
337 Views
Upvote 3
Back
Top Bottom