Teknolojia: ni fulsa Kwa nchi na watu watakayo itumia vizuri Kwa maendeleo
Teknolojia ni kitu muhimu kwenye nyanja mbalimbali za kidunia yetu hii ya Leo teknolojia Kwa matumizi mazuri ni nyezo...
Utangulizi
Kwenye ukuaji wa taifa lolote lile duniani, linahitaji kuwa na viongozi wenye maono mapana kwa taifa lao. Pia kuwa na sera dhabiti kwa taifa lao ni muhimu, mfano kwenye elimu, afya na...
Elimu ya sheria imekua ikiipuuzwa sana katika sekta ya elimu Tanzania ama imekua haipewi kipaumbele sana hivyo imepelekea kuwepo kwa matukio ambayo yanarudisha nyuma maendeleo ya taifa, maadili...
Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika historia yake, iliyojaliwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuwa kinara wa ustawi wa kiuchumi barani Afrika. Ili kutimiza dira hii, ni lazima tukumbatie sera...
Wakati Tanzania inapotazama katika robo karne ijayo, mkakati wa kiuchumi ulioandaliwa vyema unaoungwa mkono na sera za kimkakati za fedha-(Kiserikali) na fedha-(Kibenki) unaibuka kama msingi wa...
I. Tanzania's Agricultural Crisis: A Call for Transformation
Each year, Tanzanian farmers lose an estimated 30% of their harvest due to inadequate storage facilities and limited access to...
UTANGULIZI.
Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati...
Serikali ya Tanzania,
Lini tutaweka nia
Kuhakikisha tunachodhamilia, kinatokea?!
Rushwa ni adui wa maendeleo
Anaitesa Tanzania mawio mpk machweo
Waulize mama ntilie wakujibu kwa kilio,
Halafu...
Nimuhimu sana kuwezesha wanawake katika sayansi na teknolojia kwa miaka ijayo kuanzia 5 hadi 25,hii itahakikisha mwanamke haachwi nyuma katika sayansi na teknolojia.
Pia sayansi na teknolojia...
MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA.
kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu...
I. Introduction
The air hangs heavy with the dust of a thousand pickaxes, a gritty reminder of the toil that fuels Tanzania's mineral wealth. Beneath the sun-baked earth, where diamonds gleam...
Utangulizi
Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua...
Utangulizi
Tanzania, nchi yenye maliasili tele, hata hivyo bado ipo katika hatua muhimu ya mabadiliko ya kiuchumi. Lengo ni kuwa miongoni mwa nchi zinazojitafutia maendeleo ya kiuchumi. Ili...
Ili kutokomeza rushwa na kujenga TANZANIA TUITAKAYO ni lazima tuzingatie sekta zote katika nchi yetu zinatoa huduma bora na stahiki kwa usawa pasipo rushwa kwa wananchi wote.
Zifuatazo ni njia za...
Utangulizi.
Katika kipindi cha robo karne ijayo, Tanzania inaweza kuwa taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kiteknolojia barani Afrika kwa kuwekeza katika teknolojia ambazo zinaweza kuleta mageuzi...
TANZANIA TUITAKAYO 💪🏽.
Tanzania ya VIJANA wenye uelewa wa shughuli KUU za kiuchumi zilizo katika maeneo yao wanayoishi au kuzaliwa ambazo zina wawezesha kujiajiri au kuajiriwa katika makampuni au...
Ili kutokomeza Rushwa ni vyema serikali kufanya utoaji wa ajira zote 'nje na zile za uteuzi' upitie kwenye mfumo mmoja (TAMISEMI) pia wafanyakazi wa TAKUKURU ni wachache wako maofisini na rushwa...
Rushwa ni kitu chochote Cha thamani kinachotolewa Kwa lengo la kumshawishi mtu afanye au asifanye jambo fulani kinyume na taratibu na Sheria. Aidha kwa mujibu wa benki ya Dunia rushwa ni matumizi...
In the heart of East Africa lies Tanzania, a nation brimming with potential and vibrant dreams. It is the year 2024, and the country stands on the brink of a transformative journey that will...
Katika jamii yetu ya Watanzania, suala la kuzuiliwa kwa miili ya marehemu hospitalini kutokana na madeni ni tatizo ambalo limekua likijirudiarudia mara kwa mara na kuzua mijadala mikali.
Wengi...