Overview
Tanzania has many natural resources and cultural heritage, so it is confident enough to be a center of prosperity and development in future years. The phrase "Tanzania Tuitakayo” sums up...
Viongozi wetu wamekuwa wakifanya mabadiliko mbali mbali katika sekta hadhimu ya elimu,mabadiliko hayo kwa namna fulani tumeona yakileta matokeo mazuri.
Pia matokeo hayo ni jitihada...
Mapendekezo ya mabadiliko katika utaratibu wa uendeshaji wa mashauri yaliyo mahakamani. Watu wote wa kada mbalimbali, wa jinsia zote, wakubwa kwa wadogo wana haki sawa mbele za Mungu ambaye ndiye...
Utangulizi
Nchini Tanzania, kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa taarifa muhimu inayosababishwa na mtawanyiko wa taarifa katika vyanzo tofauti na ukosefu wa jukwaa moja linalounganisha taarifa...
UKIMWI Unatibika Endapo Tukia na Teknolojia ya Kisasa Katika Sekta ya Afya
UKIMWI, ambao unasababishwa na virusi vya ukosefu wa kinga mwilini (HIV), umekuwa tatizo kubwa la kiafya duniani kwa...
UTANGULIZI:
Navipongeza vyombo vyote vya Habari ambavyo vinaendelea kuwa wabunifu katika kurusha matangazo/maudhui mbalimbali ili kuhabarisha jamii kwa kujumuisha mtindo wa tafsiri kwa ALAMA ili...
Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea...
Nchini Tanzania, serikali inatoa kondomu bure ili kuhamasisha ngono salama na kupambana na kuenea kwa virusi vya UKIMWI. Hata hivyo, hedhi, ambayo ni hali ya kibiolojia isiyoepukika kwa wanawake...
Zaidi ya 70% ya WaTanzania wanaishi vijijini ambako kuna maeneo mengi yenye rutuba za kuwawezesha kulima hivyo kupelekea waTanzania wengi wa kipato cha chini na kati kujikita katika shughuli za...
Tanzania Tuitakayo: Miaka 5-25 Ijayo
Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inakusudia kuwa taifa lenye ustawi mkubwa, usawa wa kijinsia, na huduma bora za afya. Ili kufanikisha...
Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho...
Tanzania is striving to create an economic environment that fosters a happy and prosperous life for its citizens. Achieving this goal requires effective management of the existing tax bases...
“Watizamwe kwa jicho la huruma”
Katika hao wapo wengi walio na utayari wa kuanza maisha mapya, ni sisi kama jamii kuamini.
Tusisahau juu ya wale wengi wanaowatumia kama chanzo cha mapato, “tuna...
Tunapaswa kukabiliana na athari za Ubebaji Mabegi Mazito kwa Wanafunzi Wadogo
Utangulizi
Moja kati ya mambo muhimu ya kuzingatia kwa wanafunzi ili kuwa na utimamu ni pamoja na afya zao, ikiwa ni...
Tanzania tuitakayo lazima iwe na raia walio wengi Kwa ulimwengu wa sasa ambao angalau wawe na uwezo wa kutumia lugha za kimataifa angalau hata lugha moja ambayo itawawezesha kujiimarisha...
Kukua kwa sekta ya michezo nchini Hadi kufikia viwango Bora na vya kiushindani kimataifa inawezekana na hadi timu yetu ya taifa (Taifa stars) kushiriki kombe la dunia haitakuwa ndoto Bali itakuwa...
Nchini Tanzania, Sekta ya Kilimo ni muhimili wa maendeleo ya uchumi. Sekta hii inachangia kiasi cha nusu ya pato la Taifa, robo tatu ya bidhaa zinazouzwa nje ya nchi na chanzo cha chakula pamoja...
Teknolojia: ni fulsa Kwa nchi na watu watakayo itumia vizuri Kwa maendeleo
Teknolojia ni kitu muhimu kwenye nyanja mbalimbali za kidunia yetu hii ya Leo teknolojia Kwa matumizi mazuri ni nyezo...
Utangulizi
Kwenye ukuaji wa taifa lolote lile duniani, linahitaji kuwa na viongozi wenye maono mapana kwa taifa lao. Pia kuwa na sera dhabiti kwa taifa lao ni muhimu, mfano kwenye elimu, afya na...
Elimu ya sheria imekua ikiipuuzwa sana katika sekta ya elimu Tanzania ama imekua haipewi kipaumbele sana hivyo imepelekea kuwepo kwa matukio ambayo yanarudisha nyuma maendeleo ya taifa, maadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.