Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

1 Vote
Watu husema afya ni mtaji kwaio ili shughuli binafsi na taifa kwa ujumla zifanyike ipasavyo yahitaji raia wenye nguvu na afya njema.Katika Sekta ya afya changamoto zimekua nyingi ambazo...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Upvote 1
1 Vote
I.Tanzania's Coastal Communities: A Crisis and an Opportunity In Tanzania's sun-drenched coastal havens, where turquoise waters meet pristine shores, a silent struggle for survival unfolds. Over...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Upvote 1
4 Votes
TANZANIA ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi nzuri duniani na Bara la Afrika kwa ujumla, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk kutokana uzuri wa asili wa Taifa hilo lenye...
1 Reactions
0 Replies
340 Views
Upvote 4
3 Votes
1:Elimu ya Uraia: Elimu ya uraia ni muhimu sana katika kuongeza ushiriki wa wananchi. Wananchi wanapaswa kuelewa vizuri madhara ya rushwa katika jamii na uchumi wa nchi. Wanapaswa pia kufahamu...
1 Reactions
0 Replies
539 Views
Upvote 3
5 Votes
UTANGULIZI Hapa nchini Tanzania kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wasomi hasa wanaohitimu ngazi ya chuo ambapo wanategemea kuajiriwa kutokana na walichokisomea. Ofisi ya Takwimu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Upvote 5
4 Votes
Afya ni utajiri wa kweli wa taifa lolote. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inajitahidi kuimarisha huduma za afya na ustawi wa jamii kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi wake...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Upvote 4
3 Votes
Rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania yeyote yule mwenye uzalendo na kuipenda nchi yake Kwa moyo wake wote. Rushwa inaweza kuzibitiwa Kwa njia mbali Kwa kila mtanzania mpenda maendeleo ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Upvote 3
3 Votes
Moja,anatakiwa kujua kusoma na kuandika;Kuna viongozi ambao wakiletewa mikataba wanashindwa kusoma sababu hawajui kusoma na kuandika.Kiongozi anayejua kusoma na kuandika itamsaidia wakati wa...
1 Reactions
0 Replies
677 Views
Upvote 3
5 Votes
TANZANIA TUITAKAYO # SEKTA YA ELIMU Kwanini andiko hili limeegemea zaidi katika sekta ya elimu? Jibu ni hili katika maeneo muhimu na nyeti ambayo yakichezewa basi taifa laweza kupoteza dira na...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Upvote 5
6 Votes
Moja,bodi ya ligi ya mpira wa miguu nchini (TFF )ihakikishe; Kila shabikin anaipa kipaumbere timu ya mkoa anapoishi. Zaidi ya Simba na yanga mfano, kilichosababisha mpaka ligi ya uingereza kukua...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Upvote 6
5 Votes
Mnamo miaka ya hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana la wasichana/mabinti wanao zalia majumbani mwao namaanisha kwa walezi wao au wazazi wao. Na wanalea watoto pekeao bila wazazi wenzao...
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Upvote 5
3 Votes
Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali: 1. Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Upvote 3
7 Votes
MAMABO MATATU MATATU YATAKOIBADILI TANZANIA NA KUPATA NDANI YA MIAKA 10 TU TANZANIA NITAKAYO. Tanzania ni nchi tajiri ambayo inapsawa kuwa mbali sana kiuchumi na kuiingiza kwenye nchi tajiri...
2 Reactions
0 Replies
282 Views
Upvote 7
3 Votes
Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali: 1:Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Upvote 3
16 Votes
Salamu; Moja ya sekta nyeti inayogusa kila mwananchi ni sekta ya Afya, lakini ndio sekta isiyojitosheleza zaidi kwa miaka mingi hususani maeneo ya vijijini.Natambua juhudi za Serikali za awamu...
1 Reactions
4 Replies
629 Views
Upvote 16
6 Votes
🌐Utangulizi, Mafanikio katika sekta ya Afya katika kukabiliana na kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, mama na mtoto kumepelekea baadhi ya mataifa mengine ya Afrika kuja kujifunza nchini. Hayo...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Upvote 6
4 Votes
Dunia inakua kwa kasi na mabdiliko mengi yanatokea katika nyanja mbali mbali, nasi kama Tanzania tunahitaji UWEKEZAJI katika baadhi ya sekta ili tuweze kuendana na kas ya mabdiliko, kwa upande...
0 Reactions
2 Replies
342 Views
Upvote 4
4 Votes
MIKAKATI KUFIKIA MAENDELEO ENDELEVU TANZANIA MWAKA 2025 USIMAMIZI WA RASILIMALI ( rasilimali watu, rasilimali fedha na maliasili zetu ) NA UADILIFU . Swala la rasilimali watu, kwa sasa...
0 Reactions
2 Replies
299 Views
Upvote 4
4 Votes
Kwa kufikia Tanzania bora zaidi katika elimu ndani ya miaka 5 hadi 25, tunahitaji kuchukua hatua za maana. Tuanze na kuimarisha mfumo wa elimu kwa kuzingatia mambo yafuatayo: Uwekezaji katika...
0 Reactions
1 Replies
448 Views
Upvote 4
4 Votes
Kwanza kabisa ili kuifikia Tanzania tu itakayo Tanzania yenye mafanikio kiuchumi, kisiasa na kijamii tunatakiwa kuangalia namna ya mawazo, au vile tunavyopanga vinaweza kutimizwa. Tunapaswa...
2 Reactions
1 Replies
365 Views
Upvote 4
Back
Top Bottom