Watafiti wa shirika la Gamaleya huko Urusi, wamesema miaka miwili mbele, chanjo ya ukimwi itaanza kutolewa baada ya kuidhinishwa na shirika la afya duniani.
Sputnik V,chanjo ya Covid-19...
Huyu alihukumiwa kuhusika na mauaji halaiki nchini Rwanda dhidi ya watutsi, mwaka 1994. Alipomaliza kifungu chake, hakutaka kurudi Rwanda kufuatia hofu ya usalama wake. Pamoja na wenzie...
Moto uliozuka leo Bukavu na kuunguza nyumba na bidhaa za kibiashara, Rwanda imetuma kikosi chake cha zimamoto kutoa msaada, jambo lililowafurahisha wakazi wa mji huo na kudai ni matunda ya ujirani...
Kwa mara ya kwanza, katika zoezi la kuimalisha usalama na kujenga ngazi za usalama wake, M23 imetoa kwa mara ya kwanza, Police wake. Mkuu wa kundi hilo, Gen Sultani Makenga, ameomba wahitimu wawe...
https://kivutoday.com/outrage-as-wazalendo-rebels-undress-woman-allow-new-husband-to-rape-her-publicly-in-south-kivu/.
Inawezekanaje binadamu mwenye akili timamu kuwapa adhabu watu ya kuingiliana...
Zoezi linaloonekana kuvuruga serikali ya DRC, uongozi wa M23 unawataka wananchi wote wenye noti za zamani zilizochakaa na kuhalibika, kuwa wanaweza fika matawi ya Benki ya CODECO wakiwa na hizo...
Kwa kauli ya msemaji wa kisiasa wa M23, Lawrence Kanyuka,
Baada ya mashambulizi ya drones huko Kivu kusini katika makazi ya watu wa kundi la wanyamlenge, ambapo wengi wameuwawa na mali zao...
Baada ya hali ya utata katika makubaliano ya amani kati ya DRC na AFC/M23, inasemekana mbinu za kijeshi zinatumiwa kwa ufasaha, na mpaka sasa, M23 ipo eneo lijulikanalo kama Lubumba.
Za chini ya...
True love for the next generation means freeing them from the chains of inherited falsehoods. Every child is born with a mind ready to explore, question, and understand, but that pure curiosity...
Mwendesha mashitaka katika mahakama ya kijeshi nchini DRC, ameiomba mahakama kumpa adhabu ya kifo rais mstaafu wa nchi hiyo, Mhe Joseph Kabila.
Anakabiliwa na tuhuma za kutaka kupinduwa serikali...
Kuna usemi kwamba binadamu/Wana adamu tumeumbwa kuwa watumwa wa viumbe wengine
nijambo ambalo sio rahisi kuliamini
Lakini kiukweli Hali ipo hivyo
Yani Kama vile ambavyo mwanadamu...
1. AFC/M23 haitaachia maeneo iliyo nayo mpaka sasa.
2. Baada ya Qatar kuona nguvu ya AFC/M23, inajitahidi kuhimiza serikali isaini makubaliano, kwa sababu waasi hawa wana nguvu ya kutosha kufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.