South Kivu, hali si shwali.

South Kivu, hali si shwali.

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Baada ya hali ya utata katika makubaliano ya amani kati ya DRC na AFC/M23, inasemekana mbinu za kijeshi zinatumiwa kwa ufasaha, na mpaka sasa, M23 ipo eneo lijulikanalo kama Lubumba.

Za chini ya carpet, zinaeleza kuwa mamluki kutoka Columbia wana hali ngumu, huku jeshi la Burundi likizidiwa nguvu.


Zilizopanguswa vumbi kabisa zitakujia hivi punde.



UPDATES:

Gitoga, Bibangwa,Rubuga,Masango ni vijiji vingine ambavyo vimeshakamatwa na M23.
 
Back
Top Bottom