Msemaji mkuu wa kisiasa, bwana Oscar balinda, nae alikanusha tuhuma hizo, akidai hakuna aliefika na kukusanya taarifa zilizotangazwa, na kwamba iwapo yataonekana makaburi yao au kaburi la pamoja...
Kuna umri ukifika, marafiki wanapungua, pesa haipatikani, na simu haziiti. Hiki kipindi kinaweza kukufanya ujihisi umepotea na kutoka kwenye reli ya mafanikio ya maisha. Lakini amini, hiki huwa ni...
Ladies ukifika miaka 20 harakisha kutafta mtu akuoe.
Hapa ndo damu inakuchemka zaidi, ndo maana unahitaji mtu wa kutulia nae, ili isikuchemkie vibaya kikakuramba.
Ukifika miaka 25 na hujaolewa...
Nchini Rwanda, mwekezaji wa kilimo bwana Jesse Ratichek, mwenye mashamba ya ukubwa wa Ha 5,600; alisikika akilalamika kuhusu uwezekano wa yeye kufikisha mazao yake,ambayo ni mboga mboga soko la...
Rais wa Kenya, Mhe William, aliweka muwakilishi wa serikali yake mjini Goma, huko mashariki mwa DRC. Wakati huo, Nchi ya Kenya ina balozi Huko DRC.
Kitendo hiki, hakiashilii kuwa hata kenya ina...
AFC/M23, imesema haitohudhulia tena vikao vya Doha vinavyolenga kusuruhisha mzozo kati yake na uongozi wa DRC, ikiwa watu wake waliofungwa na serikali hawajaachiwa huru.
Watoto wengi hawana mahausiano mazuri na baba zao,
kwa sababu ya kusikiliza ufundi wa mama zao katika kusimulia mabaya ya baba zao.
Huyajui ya mama' ako, kwa sababu baba' ako, alichagua...
Wanasemaga kuna wakati unajikuta maamzi yanatokana na koneksheni kati ya ubongo na sehemu za siri. Ni pale ambapo mtu hachagui wa kulala nae,na matokeo yake maradhi na watoto wasio na wazazi wote...
Japo hili ni tukio la kusikitisha nchini Rwanda,
lakini nchi nyingi za kiafrika, mfumo ni ule ule.
Tumeshindwa kulea, tumeona chaguo ni kuruhusu matumizi ya njia hizi za majira, kuficha aibu...
Jeshi la Somalia, limewanyonga wanajeshi wawili waliokutwa na hatia ya kujihusisha na kundi la waasi la Al-Shabab. Walikutwa na hatia baada ya kiongozi wao Aided Mohamed Ali, kuuwawa, na hatimae...
Mwanaume akihamisha hisia anaanza kukuona kama ndugu yake, hata ukae uchi mbele zake, hujisikia kinyaa. Halafu mwanaume huwa hapendi makelele kwenye nafsi yake, ukimtamkia maneno ya shombo, matusi...