Pichanini tangazo kutoka account ya wizara ulinzi ya Rwanda, ikikanusha taarifa zilizosambazwa, zikionyesha wizara hiyo imeweka wazi hali ya sasa ya rais wa Rwanda.
Wizara ya afya nchini Rwanda, inasisitiza wanaume na wao kujitokeza kupata huduma za uzazi wa mpango. Ambapo njia inayopendelewa kwa wanaume hao, ni ya kuziba mirija ya mbegu za kiume. Hii...
Ni badhi ya wanachuo waliohitimu December 2024.
Walisema, baada ya MOUNT KENYA kubadilishiwa jina na kuitwa MOUNT KIGALI UNIVERSITY, kuna wanachuo walijikuta transcript zao zikionyesha miaka...
Katibu katika Wizara ya Afya nchini Rwanda, Dk. Yvan Butera, alitangaza kwamba mtu mmoja kati ya watano nchini Rwanda amepata tatizo la afya ya akili.
Matatizo yaliyoenea zaidi kati ya haya ni...
Siku Baada ya Kifo:
Siku ya 3: Kucha huanza kudondoka.
Siku ya 4: Nywele huanza kuoza.
Siku ya 5: Ubongo huyeyuka kwa kasi.
Siku ya 6: Tumbo huchuruzika kutoka mdomoni na sehemu za siri.
Siku ya...
Nchini Rwanda, watumiaji wa maji walioshindwa kulipa Bill zao, kuanzia sasa kuwekwa katika mfumo wa CRB. Mfumo huu, huwazuia watu kupata huduma mbali mbali, maana kila inapoingizwa namba yako ya...
Alisimulia akasema:
Nilikuwa nimeoa, na mke wangu alikuwa mfupi wa kimo na mwenye mwili dhaifu ukinilinganisha na mimi…
Mimi nilikuwa na urefu mkubwa na misuli mingi…
Mwenyezi Mungu alinitunuku...
Hayo ni maneno ya General Maphwanya, mkuu wa jeshi la Afrika kusini. Aliesema vita vya DRC huenda vikapanuka na kuwa vya ukanda, aliona mbali. Je, atafanikiwa kweli?
Taarifa zenyewe husema hii...
Kwa kichapo inachoendelea kupata Israel, ni wazi biashara na mataifa mbali mbali hazina priority.
Inavoonekana, Israel haikutegemea itafumuliwa kwa kiasi tunachokiona. Watu wasio na makazi,miundo...
Kuna siku nliambiwa nimtaje rafiki yangu alaf atapigiwa simu nayye akinitaja me napewa 10000 nikamtaja aseee tena ni mtu nimekaa naye room moja kabisa na tunawasiliana kila siku alipoulizwa...
Siku ya leo, moto mkali umeshika mgahawa mmoja huko Goma.
Uongozi wa jiji la Goma, uliomba msaada jeshi Polisi nchini Rwanda, kitengo cha zimamoto; MONUSCO, na yenyewe inasemekana ilileta gari...
Pichani, ni mwanamke raia wa Rwanda, aliekuwa akiishi nchini Uhalanzi.
Miaka ya nyuma, alikuja Rwanda kugombea urais, kwa tiketi ya chama chake binafsi.
Alipofika, alitembelea makumbusho ya...
Constant MUTAMBA(Pichani), alikuwa ameahidi kwamba atafanya kila analoliweza kuhakikisha Rwanda inakuwa mkoa wa 26 wa jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Badae, kupitia wizara yake ya sheria...
Watu wana ardhi zao toka enzi. Leo hii, walishazuiliwa kufanya chochote, baada ya kusema ni maeneo hatarishi, hivyo hayatakiwi kufanyiwa shughuli yoyote. Mpaka serikali iwalipe fidia, wakatafute...