Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Mwanamke, ana nini cha kumpa mwanaume? Iko hivi, mwanamke ana majukumu mawili kwa mwanaume wake: -Kuvuruga mwanaume akiwa ametulia na -Kumutuliza akiwa amevurugwa Najua wengine watasema ni...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ambae ni mpatanishi katika mzozo wa kisiasa kati ya Rwanda na Congo,leo amemtembelea rais Kagame wa Rwanda. Ni katika juhudi za kutafuta suruhu la kudumu,ili...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Zoezi hilo limefanyika,kuhakikisha watu hao wanaimalika kishelia, kutokana na ripoti za mara kwa mara zinazowatuhumu kuvunja sheria za kimataifa.
0 Reactions
0 Replies
97 Views
A. Le M23 ne reculera plus de ses positions. Il n'est donc pas question de quitter le Nord ou le Sud-Kivu. M23 haitatoka katika maeneo iliyo nayo mpaka sasa,kwa maana ya Kivu Kaskazini na Kivu...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Ma ofisa wakuu wa jeshi,wapo hatarini,badhi yao wakiwa wanasakwa huku wengine wakikamatwa. Wanakabiliwa na tuhuma na njama za jalibio la kupindua uongozi wa Tshisekedi.
0 Reactions
2 Replies
133 Views
Rais wa Uganda, Yoweli Kaguta Museveni, ameagiza taasisi husika, kufungua mipaka ya nchi hiyo, na upande wa Congo chini ya uongozi wa M23. Hii inamaanisha, biashara na safari za kuvuka...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Umezaa na mtu, au ni mmeo,af unamletea nyodo kwamba anatoa hela ndogo au hakuridhishi. Unapata mchepuko,anaekuridhisha, na hela ndogo hiyounayopewa na uliezaa nae,hakupi mchepuko. Mwenye kukupa...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Eti kabla ya kwenda jela miaka 30,kisa kummimbisha mwanafunzi,unatakiwa ukumbuke haya: -kila mimba,ni ya mwanaume. -Lakini kila mtoto akizaliwa,ni wa mwanamke.
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Rais William Ruto ameagiza polisi nchini Kenya kutumia nguvu zaidi dhidi ya watu wanaojihusisha na uporaji au uharibifu wa mali wakati wa maandamano, akisema kuwa wanaopatikana wakifanya vitendo...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO 1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Olivier Nduhungirehe, waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, akiongea na waandishi wa habari, alisema, taarifa zote za uwepo wa FDLR na walipo, Rwanda inazo. Waliopo jeshini, walioingizwa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Katika yaliyomo, ni kwamba FDLR si kundi la waliohusika na mauwaji dhidi ya watutsi, kama inavyoituhumu serikali ya Rwanda, bali ni kundi lililoanzishwa mwaka 2000 kwa ajiri ya kuwalinda wakimbizi...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Tangazo lililotolewa na serikali ya Kidemoklasia ya Congo, linaitaka nchi jirani ya Rwanda, kuhakikisha inaondoa wanajeshi wake chini humo,kablabya siku 90. Kushindwa kutekeleza agizo hili...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Katika Mkutano na Waandishi wa habari Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amekea wanaotegemea wachawi na kuhisi wao ndio wanaowapa ushindi badala ya kutegemea mafunzo na maandalizi mazuri kwenye...
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Tanzania yashika nafasi ya kwanza. Nchi tatu za mwisho Kabisa, ni Sudan, Sudan kusini na DRC
0 Reactions
1 Replies
143 Views
Sauti ya marehemu Col. Karegeya, anayesemekana kuuawa na serikali ya Rwanda huko Afrika kusini, alipoulizwa na mwandishi wa habari kuhusu uwezekano wa Ingabire kugombea, alijibu kwamba huyo...
0 Reactions
1 Replies
142 Views
Kwa muda wa siku 7, yaani tarehe 1 hadi 7 mwezi Julai, 2025, Wanyarwanda walioajiliwa serikalini, walipata muda wa mapumziko, kwa ajili ya kuadhimisha sikukuu za uhuru na kujikomboa, zilizoangukia...
0 Reactions
1 Replies
131 Views
Nyerere alisema Maskini hana cha kupoteza, na Binadamu akichanganikiwa ni hatari kuliko kitu chochote Duniani, moja ya visababishi ni utawala wa mabavu na umaskini wa kupitiliza. Gen - Z ni kizazi...
0 Reactions
2 Replies
158 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…