Nchini Rwanda, mwekezaji wa kilimo bwana Jesse Ratichek, mwenye mashamba ya ukubwa wa Ha 5,600; alisikika akilalamika kuhusu uwezekano wa yeye kufikisha mazao yake,ambayo ni mboga mboga soko la...
Rais wa Kenya, Mhe William, aliweka muwakilishi wa serikali yake mjini Goma, huko mashariki mwa DRC. Wakati huo, Nchi ya Kenya ina balozi Huko DRC.
Kitendo hiki, hakiashilii kuwa hata kenya ina...
AFC/M23, imesema haitohudhulia tena vikao vya Doha vinavyolenga kusuruhisha mzozo kati yake na uongozi wa DRC, ikiwa watu wake waliofungwa na serikali hawajaachiwa huru.
Watoto wengi hawana mahausiano mazuri na baba zao,
kwa sababu ya kusikiliza ufundi wa mama zao katika kusimulia mabaya ya baba zao.
Huyajui ya mama' ako, kwa sababu baba' ako, alichagua...
Wanasemaga kuna wakati unajikuta maamzi yanatokana na koneksheni kati ya ubongo na sehemu za siri. Ni pale ambapo mtu hachagui wa kulala nae,na matokeo yake maradhi na watoto wasio na wazazi wote...
Japo hili ni tukio la kusikitisha nchini Rwanda,
lakini nchi nyingi za kiafrika, mfumo ni ule ule.
Tumeshindwa kulea, tumeona chaguo ni kuruhusu matumizi ya njia hizi za majira, kuficha aibu...
Jeshi la Somalia, limewanyonga wanajeshi wawili waliokutwa na hatia ya kujihusisha na kundi la waasi la Al-Shabab. Walikutwa na hatia baada ya kiongozi wao Aided Mohamed Ali, kuuwawa, na hatimae...
Mwanaume akihamisha hisia anaanza kukuona kama ndugu yake, hata ukae uchi mbele zake, hujisikia kinyaa. Halafu mwanaume huwa hapendi makelele kwenye nafsi yake, ukimtamkia maneno ya shombo, matusi...
Mwanamke asiye na marafiki wengi anaweza kuwa na sifa mbalimbali, ambazo si lazima ziwe hasi au chanya, zinategemea muktadha wa maisha yake, tabia yake, na mazingira yanayomzunguka. Hapa kuna...
Mpaka sasa, wapiganaji wa M23 wapo Kaniola, huko Kivu kusini, umbali wa km 53 tu kutoka mji wa Uvira. Eneo hilo liliangukia mikononi mwa wapiganaji hao, baada ya mapigano kati yao na jeshi la DRC...
Hili swali binafsi najiuliza lakini jibu sipati.
Mmoja akiwa + na mwingine -, huku wana watoto, nini cha kufanya? Maana kuna wakati ukizingatia, nguvu ya kuachana haipo. Kuzagamuana, hakukwepeki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.