Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Katika mahusiano, kitu kinachoweza kumfanya mwanaume awe na furaha na kumtamani zaidi mke wake si sura nzuri pekee, si urembo wa mavazi, na hata si ujuzi wa jikoni pekee; bali ni moyo wa shukrani...
1 Reactions
2 Replies
277 Views
2 Reactions
2 Replies
121 Views
Rwandair imenunua kwa mkupuo ndege mbili za Boeing 737-800. Kila moja in auwezo wa kubeba abilia 174. Shilika hili la usafili wa anga, limeonyesha kukua kwa kasi, na baada ya kujiunga na Qatar...
1 Reactions
2 Replies
137 Views
Huko DRC, Kivu kuaini, inasemekana jeahi la serikali na wasaidizi wake,leo na jana wamemimina risasi kwa kutumia silaha nzito,katika makazi ya wanyamulenge. Msemaji wa AFC/M23 Lawrence Kanyuka...
1 Reactions
2 Replies
143 Views
Wanaume: ukitaka kuoa; oa mwalimu. Anakaa darasani na aajinga zaidi ya mia moja na wote anawavumilia.. Hawezi kushindwa kukaa na wewe mjinga mmoja tu.
1 Reactions
2 Replies
173 Views
Watafiti wa shirika la Gamaleya huko Urusi, wamesema miaka miwili mbele, chanjo ya ukimwi itaanza kutolewa baada ya kuidhinishwa na shirika la afya duniani. Sputnik V,chanjo ya Covid-19...
1 Reactions
2 Replies
154 Views
Huyu alihukumiwa kuhusika na mauaji halaiki nchini Rwanda dhidi ya watutsi, mwaka 1994. Alipomaliza kifungu chake, hakutaka kurudi Rwanda kufuatia hofu ya usalama wake. Pamoja na wenzie...
0 Reactions
2 Replies
127 Views
Moto uliozuka leo Bukavu na kuunguza nyumba na bidhaa za kibiashara, Rwanda imetuma kikosi chake cha zimamoto kutoa msaada, jambo lililowafurahisha wakazi wa mji huo na kudai ni matunda ya ujirani...
1 Reactions
2 Replies
125 Views
Kwa mara ya kwanza, katika zoezi la kuimalisha usalama na kujenga ngazi za usalama wake, M23 imetoa kwa mara ya kwanza, Police wake. Mkuu wa kundi hilo, Gen Sultani Makenga, ameomba wahitimu wawe...
0 Reactions
2 Replies
127 Views
Alienielewa ameelewa naongelea nini
0 Reactions
2 Replies
101 Views
https://kivutoday.com/outrage-as-wazalendo-rebels-undress-woman-allow-new-husband-to-rape-her-publicly-in-south-kivu/. Inawezekanaje binadamu mwenye akili timamu kuwapa adhabu watu ya kuingiliana...
1 Reactions
2 Replies
93 Views
Zoezi linaloonekana kuvuruga serikali ya DRC, uongozi wa M23 unawataka wananchi wote wenye noti za zamani zilizochakaa na kuhalibika, kuwa wanaweza fika matawi ya Benki ya CODECO wakiwa na hizo...
1 Reactions
2 Replies
101 Views
Kwa kauli ya msemaji wa kisiasa wa M23, Lawrence Kanyuka, Baada ya mashambulizi ya drones huko Kivu kusini katika makazi ya watu wa kundi la wanyamlenge, ambapo wengi wameuwawa na mali zao...
1 Reactions
2 Replies
257 Views
Baada ya hali ya utata katika makubaliano ya amani kati ya DRC na AFC/M23, inasemekana mbinu za kijeshi zinatumiwa kwa ufasaha, na mpaka sasa, M23 ipo eneo lijulikanalo kama Lubumba. Za chini ya...
1 Reactions
2 Replies
149 Views
True love for the next generation means freeing them from the chains of inherited falsehoods. Every child is born with a mind ready to explore, question, and understand, but that pure curiosity...
1 Reactions
2 Replies
182 Views
Siku ya tatu leo baba watoto hapokei simu wala hasomi meseji zangu sijui yuko na nani huko aliko.
2 Reactions
2 Replies
168 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…