Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Nchi ya Rwanda imezindua huduma ya mtandao wa 5G. MTN Rwanda, imesema kwa sasa inapatikana Kigali Heights na Kigali Convention Center. Baada ya majaribio, itaanza kusambazwa nchi nzima. Wakati...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Bado malori mengi yanaendelea kusomba silaha za SADC zilizokuwa Goma na Sake,mashariki mwa DRC. Silaha hizi zilikosa kazi na kuangukia mikononi mwa M23,baada ya kuizidi nguvu SADC, FARDC,Wazalend...
0 Reactions
1 Replies
231 Views
Rwanda Investigation Bureau, imekabidhi watu mbali mbali simu zao zilizoibiwa kwa nyakati tofauti ndani ya miezi 5. Zoezi hilo limeambatana na kuwekwa wazi, watu 14 waliohusika na wizi huo. Ni...
0 Reactions
1 Replies
130 Views
Massad Boulos, mshauri mkuu wa serikali ya Marekani, kuhusu maswala ya Africa, ametangaza kuwa baada ya Rwanda na DRC kuwakilisha matakwa ya kila upande kuhakikisha nchi hizi mbili zinafikia...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Mkutano huu unaotarajiwa jijini Kigali, tarehe 19-20 Mai 2025, ni sehemu pia ya maonyesho ya dhana za kivita za kisasa; utajumuisha mataifazaidi ya 60. Zitakuwemo drones, magari maalum kwa ajiri...
0 Reactions
1 Replies
164 Views
Inasemekana, bata ukimfungia sehemu kwa siku zisizopungua 40, anakufa na badae ukifunua utakuta kawa nyoka. Hili ni kweli au ni uzushi tu wa watu?
0 Reactions
2 Replies
246 Views
Serikalii inatuhumiwa kuhatarisha maisha ya raia baada ya kusitisha huduma za kibenki na za usafiri wa anga, katika maeneo yanayoongozwa na AFC/M23. Askofu Donatien Nshole, amesema nguvu...
0 Reactions
1 Replies
116 Views
Jaribio lilifanyika kwenye Marekani, Afrika Kusini na Rwanda. Utafiti wa shilika la afya duniani, ulibainisha kuwa, dunia nzima ina watu waishio na virusi vya ukimwi wapatao milioni 39,9 mwaka...
0 Reactions
5 Replies
279 Views
Baada siku moja, wanyarwanda 300 walipoingia nchini humo kutoka DRC, kwa mara nyingine, leo wameingia 790 pia. Kwa mjibu wa vyombo vya habari, watu hawa, na wengine ambao bado hawajawasili...
0 Reactions
1 Replies
151 Views
Pichani, ni badhi ya silaha zinazounganishwa nchini Rwanda, kwa ushilikiano wa jeshi la Rwanda na la Israel, kupitia kiwanda cha Rwanda Engineering and Manufacturing Corporation (REMCO). Silaha...
1 Reactions
1 Replies
390 Views
Wakimbizi hawa walikuwa wakiishi kambini Kakuma, huko Turkana, nchini Kenya. Walioweza kutoa taarifa, wamesema uamzi huo ulitokana na kupunguzwa zaidi ya 50% ya chakula kutoka shirika la msaada...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Kama wewe ni muajiliwa, thamini jasho lako. Siku ukigundua kuwa kwa mwaka mzima, yaani jumla ya miezi kumi na mbili(12), unalipwa tu siku 12, basi jifunze kuthamini hicho unachokipata, ila...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Moja ya taarifa za awali, ni kwamba baada ya serikali ya USA kuingilia mgogoro wa kisiasa kati ya DRC na Rwanda, ni kwamba Marekani inaitaka kuhakikisha madini yake yote yanapelekwa tu Rwanda...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Mwamba aumaliza mwendo hapo hapo, na abilia wake mahututi!
0 Reactions
1 Replies
103 Views
https://thegreatlakeseye.com/post?s=South--Africa--mulls--trojan--horse--plot--to--return--to--DRC,--derail--peace--efforts--_1823 Kama hii ni kweli, basi tujiandae kuuona moto zaidi ya ulioonekana
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Wale vijana wanaotafuta mapambo. Masisi ndo kwenyewe sasa. Mkisema Rwanda kuna viumbe, mtakuwa mnakosea sana.
0 Reactions
2 Replies
197 Views
Na haya, ni sehemu ya maisha ya wanyarwanda. Ukiwa na flat TV,hata kama ni 15", wewe ni mlengwa wa kutembelewa na hawa jama wanaochimba na kutoboa nyumba. Bora huyu alikuwa na tofari imara...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
https://x.com/btntvrwanda/status/1917923701779018161 Pichani, ni badhi ya waendesha pikipiki jijini Kigali, nchini Rwanda, baada ya kumkamata mtu anaedai kuwa ni askali polisi, kitengo cha...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Tuganire: Ese wowe wakiriye gute icyemezo cya Polisi y'u Rwanda cyo kongera iminsi yo guhana umuyobozi w'ikinyabiziga wakerewe kwishyura amande y'ikosa (Contravention) aho kuba iminsi 3 ahubwo...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Back
Top Bottom