Habari zenu,
Ni mwaka wa 9 sasa nimekuwa nikizunguka na kampuni X nikiwa kama fundi umeme wa kampuni ilihali sijasomea io taaluma, nimekuwa ni mtu wa kujisomea majarida na vitabu mbalimbali...
Eneo Ni heka moja.. nyuma ya kiwanda cha Lake steel misugusugu kibaha. Lina hati Kwa majina yangu.. bei Ni tsh million Tano maongezi yapo.
0759960687.. karibuni
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – MSUSI
Mahali: Moshi Mjini – Mbuyuni
Tunatafuta Msusi mwenye uzoefu kujiunga na timu yetu ya saluni iliyopo Moshi Mjini, Mbuyuni.
Sifa zinazohitajika:
✅ Uwe na uzoefu...
Habari wakuu,
Nahitaji mfanyakazi wa ndani.
Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam
Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana.
Number ya mawasiliano - 0767836872.
Asante.
Wakuu
Mimi ni muhtimu wa kidato cha nne mwaka 2019 na ufaulu wa dalaja la pili alama 19,sikuendelea na shule kutokana na changamoto za kifedha.
Wakuu,nipo chini ya miguu yenu kuwaomba kati katika...
Wadau kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu kuitwa kwenye Interview za utumishi kwenye hizo nafasi zinazotaka watu 10 tu na waombaji ni 1760
Nilitaka kufaham kwenye Area kama hiyo kunawezakuwa...
Habari za muda huu ndugu zangu, mimi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23. ni kwa muda mrefu sasa n nimekua na ndoto ya kuwa kocha mkubwa wa mpira wa miguu lakini sina support.
Kwa...
Wasalamu ndugu,Bungeni Leo wamesema kibali Cha Ajira kimetoka.
Nawashauri vijana ambao mnategemea kuomba hasa zile za kuaaply mfanye maandalizi mapema.
1.Vyeti vyako visiwe mbali na wewe
2.Simu...
Nisaidieni wakuu.. kuna kazi za serikalini nimeziona nataka kujitosa ila sasa scale ya mshahara ni PRSS 1.. Sasa nataka kufahamu hiyo ni pesa ngapi.. Je itatosha kufanya maisha na kuhonga?
Kutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi
1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4...
Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you passionate about promoting art? Are you skilled in sales, marketing, and connecting with people from diverse...
Wanahitajika walinzi kwenye hoteli ilyoko unguja mjini. Kuhusu mshahara na mawasiliano njoo pm Iko wazi. Muda wa kazi ni saa moja hadi saa kumi na moja na zamu nyingine ni saa kumi na moja hadi...
We are looking for a Qualified Registered Nurse
Job Overview
We are seeking a dedicated and skilled Registered Nurse (RN) to join our Patient Care Team. The RN will provide compassionate pre-...
We are looking for a Qualified Occupational Therapist or Physiotherapist Job Overview
Kafika House is seeking a motivated, self-driven, and compassionate Occupational Therapist or...
VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) formerly known as SEDA is a fast growing and reputable Micro Finance Bank (MFB), has a loan book of more than TZs. 44 billion and more than...
Habarini wakuu,
Wakuu mimi ni kijana wa kiume miaka 25years nilikuwa natafuta kazi ya kutengeneza platform, website au app. nipo tayari kuanza kwa kujitolea hata kwa wiki kadhaa au hata mwezi...
Rejea mada tajwa hapo juu.
Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 32, nmeoa NINA na mtoto mmoja ndani ya ndoa lakini hapo kabla nikipata mtoto KWA hiyo jumla NINA watoto wawili wote ni wa kiume...