Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Kwenu tena wana JF, leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye e-mail yangu kuwa nimechaguliwa kuanza TRAINNING ktk kampuni tajwa hapo juu ila natakiwa kutuma pesa elfu 50 za kitanzania. Naombeni mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu wengi najua wanafahamu zaidi recruitment portal ya serikali yani ajira portal. Lakini zipo portal nyingi tu ajira za watu tofauti tofauti. Mimi binafsi nawakubali cvpeople walishanipa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Nina uzoefu mkubwa wa kununua na kuuza mazao ya biashara na mbolea , mfano ufuta, mahindi , korosho n.k pia najua namna yanavyotakiwa kuhifadhiwa na kupangwa ,jinsi ya kuyafanyia ( fumigation)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nataka kufahamu mishahara ya maafisa utumishi kwa level ya degree inaanzia garaja gani
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Awe na umri chini ya miaka 23 Awe analala hapa hapa nyumbani Nyumba ipo dar na hakuna kazi nying zaid ya kupika na kufanya usafi Asiwe mapepe Anaehitaji tuwasiliane kwa namba 0658 047 048
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Anahitajika mwalimu kwa ajili ya kufundisha Ordinary level (form one to form four). Mwalimu anahitajika kuwa na Bachelor Degree of arts with Education (History). Experience awe na angalau miaka...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
General Manager General Manager Posted on 16/02/10 Employer Name: A prestigious investment company in Rwanda Employer E-mail: star@rwanda1.com Employer contact number: +250-505 307...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye list ya majina ya waliochaguliwa Kwa ajili ya zoezi linaloenda kuanza jumanne Machi 1 Kwa wilaya ya KINONDONI ashee Hapa ili tujuane mapemaaaaa Karibuni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta mwanasheria , mkazi wa dsm awe na uelewa wa kuchambua mikataba ya kibiashara
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamv ebu mwenye hbr anaijuze km kuna mtu aliapply hz kz na kuitwa ktk usahili mn nimejrb kuulizia na kuvisit website yao mr kwa mr lkn sijawahi ona shortlisting Na tangazo lilikuwa ili hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimepigiwa simu kwenda wiki ijayo kufanya written interview, jaamani naombeni maunjanja ili nipate hilo shavu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Please jamani mwenye notice nzuri za research anisaidie maana nimehudhuria interviews baadhi za utumishi nimefeli kwa sababu ya kusoma research notice feki, so mwenye notice ambazo si za ku...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Please find in attachment
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hawa watu wameshaanza kuitaa watu kwa ajir ya usaili ???
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunahitaji madereva pikipiki,wenye leseni,wanaojua kuzungumza kiingereza tafadhali kama wewe unavigezo hivi tuma msg au piga simu namba 0777 141 555 au tuma CV kwenda recruitment@lenjen.co.tz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jobs in Tanzania: New Job Vacancies at VODACOM Tanzania, 2019 AJIRA TANZANIA 2019 / NAFASI ZA KAZI 2019 Position: Administrator: M-PESA Agents - MPESAN JOB PURPOSE The M-PESA Agent Administrator...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu, Naomba wenye uelewa wa haya mambo ya Serikali mtoe ideas kuhusu swala zima la mtu kutaka kuhama kabla ya kuthibitishwa kazini, hii imekaaje. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanajf, Nina Bachelor of Arts in library and Information studies.Nipo dar.Natafuta kazi ya library au yeyote inayoendana na course yangu.asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Njoo kilwa aje wilaya yeyote moro dar au pwani 0787419289
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom