L Lotus 123 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2021 Posts 3,172 Reaction score 5,562 May 19, 2022 #1 Wadau nataka kufahamu mishahara ya maafisa utumishi kwa level ya degree inaanzia garaja gani
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 51,821 Reaction score 209,533 May 19, 2022 #2 Muulize Sandali Ali yeye ni mtumishi mkuu
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,658 Reaction score 49,650 May 19, 2022 #3 Depal said: Muulize Sandali Ali yeye ni mtumishi mkuu Click to expand... Ahahahaha Sema taasisi tukupe majibu. Ila kwa kuanzia wanaanza na 720000
Depal said: Muulize Sandali Ali yeye ni mtumishi mkuu Click to expand... Ahahahaha Sema taasisi tukupe majibu. Ila kwa kuanzia wanaanza na 720000
schizoid-man JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 402 Reaction score 392 May 19, 2022 #4 TCRA na Wakala wa Misitu ni kiasi gani mkuu
walitola JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,849 Reaction score 5,693 May 19, 2022 #5 Inatofautiana na taasisi mkuu kuna wanaolamba laki saba na uchafu, wapo laki nane, laki tisa mpk milion
Inatofautiana na taasisi mkuu kuna wanaolamba laki saba na uchafu, wapo laki nane, laki tisa mpk milion
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,795 May 19, 2022 #6 Ujapata kazi unaanza kuulizia mshahara
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,106 Reaction score 48,734 May 19, 2022 #7 genetic said: Ujapata kazi unaanza kuulizia mshahara Click to expand... Unatakiwa kuishi Kwa Imani mkuu. Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo.
genetic said: Ujapata kazi unaanza kuulizia mshahara Click to expand... Unatakiwa kuishi Kwa Imani mkuu. Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,349 Reaction score 129,650 May 19, 2022 #8 Mm sijapata kazi ila wenzangu huko wanalipwa 650k