Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Rejea kichwa cha hapo juu mimi ni kijana umri miaka 28 nina masters degree in computer science vijana wezangu,kaka zangu , baba zangu, mama zangu na wazee wangu naomba mnisaidie niweze kutengeneza...
2 Reactions
6 Replies
618 Views
Habari za humu wakuu,,Mimi ni muhitimu wa shahada ya Taaluma ya Maendeleo (BA-DS) kutoka University of Dodoma mwaka 2022. Lengo la kuandika huu uzi ni kuomba connection ya nafasi kujitolea...
0 Reactions
2 Replies
364 Views
Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria, Naamini hapa Jamii forums Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either...
1 Reactions
9 Replies
750 Views
Habari Wana JamiiForums Nilikuwa natafuta kazi japo nipate hata intern kusukuma maisha Elimu yangu ni Shahada ya manunuzi (Bachelor Degree in procurement and supply chain management) Pia nina...
4 Reactions
8 Replies
943 Views
Ajira ya ulinzi ipo Kama upo tiari njo siitaji cent yako mshahara mzuri piga 0614951696 ukiwa dsm ndo vizuri zaidi
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari zenu, Naomba nijuwe mshahara ya degree kwenye ajira ya bodi ya mkonge kwa anayejua. Nashkuru sana
1 Reactions
17 Replies
3K Views
TANGAZO LA AJIRA Kampuni: The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH Mahali: Mwanza, Tanzania Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) inakaribisha maombi ya ajira...
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Habari Wakuu, Nipo Dar es salaam Ni Dereva Natafuta gari ndogo ya hesabu (bolt) kwa week. Mwenye nayo tafadhali naomba unitafute nina uhitaji sana. 0766445556
1 Reactions
3 Replies
401 Views
Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa. Sasa nilijipa matumaini...
14 Reactions
126 Replies
5K Views
Kuna nafasi TANROADS walizozitangaza tangu mwezi wa 6, 2025 kupitia Utumishi kuna mwana nilimuazima laptop yangu kwa ajili ya kufanya maomba juzi kati naonana nae namuuliza vipi interview anasema...
1 Reactions
7 Replies
501 Views
Ni kazi inayodharauliwa na kubezwa sana na watu wengi lakini je uhalisia ukoje? Nimepiga stories mbili tatu na walimu wa shule za msingi hasa ukanda wa Temeke. Darasa la nne wako watoto 450+...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu. Kama kichwa kinavyojieleza. Mimi kijana wa Kitanzania. Ualimu ndio Fani yangu(I'm very proud) hasa kwa wale wazazi au walezi wanaopenda watoto wao wafundishwe nyumbani kwao...
0 Reactions
4 Replies
379 Views
Habari zenu wakuu, Natafuta kazi ya usafi katika maeneo ya dar es salaam. IKiwa unafahamu taasisi, kampuni au mtu binafsi anayehitaji mtu binafsi anayehitaji mtu wa kuhakikisha mazingira...
1 Reactions
3 Replies
956 Views
Yaan vyet viko viwl je sio shida? Cheti cha kuzaliwa nilichoweka ajira hakionekani vizuri ila nime ki certfy hvo nikaamua kuweka na kinachoonekana vizuri ambacho hakija pigwa muhuri
2 Reactions
12 Replies
564 Views
Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh (kurasa 1 -> 100) na Bei 10,000 Tsh (kurasa 1 - 490), na Bei 15,000 Tsh (1 - 800) na ku ndelea kwa kitabu kimoja , nicheki...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habar zenu naomba mnisaidie maswali yanayoulizwa kwenye interview ya Taesa. Shukrani
5 Reactions
108 Replies
17K Views
Habari za Jioni, Ndugu zangu. Naomba majibu mazuri ndugu zangu. Nimemaliza Bachelor of Business Administration in Accounting. Naomba kujua Private Sector (NGO'S) or Public Sector zinazolipa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu umetoka?
5 Reactions
33 Replies
3K Views
🔥🔥🔥🔥OFFER OFFER OFFER🔥🔥🔥🔥 ‎ NOKIA 105 ‎Jumla:Tsh24,000kuanzia pc3 ‎RejaReja:Tsh30,000/= ‎Fm radion wirless ‎Brand:New ‎Battery:1000mAh ‎Laini mbili ‎ ‎...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Good day all, me looking for job. Me i have experience enough to work. Kindly contact me if you have a job for me. Thank you all ladies and gentomens
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…