Wakuu habari za Leo.
Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme.
Mnisaidie mashirika yote...
Walimu waliohama tangia 2023 hadi leo mishahara yao haijahamishwa licha ya kauli wa Waziri Simbachawene.
Imekuwa kero kupata stahiki zetu wanasema sometimes rudi ulikotoka.
Naomba usaidie...
Job Opportunity: Secretary at the EU Delegation to Tanzania and the EAC
About the European Union and the Delegation
The European Union (EU) is an economic and political partnership of European...
Property Manager Position at the Norwegian Embassy in Tanzania
The Norwegian Embassy in Dar es Salaam, responsible for representing and promoting Norwegian interests in Tanzania, employs...
Reports to: Operations, Administration, and Finance Manager
Department: Finance
Position classification: Full-time
Location: Lumuma, Kilosa District / Mbuga, Mpwapwa District
Preferred Candidate...
Hello habari ya leo wakuu, hongera kwa mapambano ya kutafuta ajira pasipo Kuchoka licha ya kukosa nafasi
Leo nimekuja na wazo la biashara ambalo binafsi nimelifanyia kazi kwa zaidi ya miaka 3...
Kuna upendeleo unaoendelea katika upandishaji wa vyeo katika Jeshi la Megerza nchini. Kwa mfano katika vyeo vilivyotolewa vya stafu sajenti kwa mwaka wa fedha 2024/2025, bado hatuelewi vigezo...
Watumishi wa Umma tunapata changamoto kwenye Mfumo wa Employee Self Service (ESS) upande wa mkopo, pale unapolipia deni (mkopo) mfumo unachukua muda mrefu kufuta huo mkopo, haliyakuwa hatua zote...
JUKWAA MOJA LENYE NGUVU YA MVUMO WA MAENDELEO YA KIMKAKATI – BIHARAMULO 2025-2030
Wananchi wa Biharamulo na Mkoa mzima wa Kagera,
Usikose kushuhudia tukio kubwa la kihistoria:
Balozi Dkt...
Samahan!
Naomba kujua ni lini majibu yatatoka ya kuitwa kazini utumishi, tumeshamaliza oral tangu mwezi wa 8 tarehe 21 had leo wakuu,,naomba kujua Hilo muajiri TARURA
Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea.
Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea
Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa)
Muda wa Kuingia...
Habari zenu wadau.
Ninaomba mtu awbaye anamashine ya kukamua juice miwa, Tuwasiliane tufanye kazi,
Ama kwa yeyote mwenye office mahali, na anauhitaji usimamizi wa kazi kwa makubaliano ya MALIPO...
Job Opportunity: Data Protection Officer at Yas
[NEW VACANCY] Let’s grow together, become our Data Protection Officer at Yas. If this description corresponds to you, grow with us by applying...
Nadhani IKULU Sasa zilitakiwa ziwe wazi, kila mgombea atokee kwke akambe KAZI ya kuajiliwa kuwa Rais
Inakuaje Samia analala IKULU? Chanzo ni katiba MBOVU,
Kama majimbo hayana wabunge, kama...
Habari Wana Jf🚀 Stori Yangu ya Maisha – Safari ya Kupambana na Changamoto!
Hello wana jf! 🙌 Leo nataka kushare na nyinyi hadithi yangu ya maisha – jinsi nilivyopambana na masomo huku nikicheza...
Rejea kichwa cha hapo juu mimi ni kijana umri miaka 28 nina masters degree in computer science vijana wezangu,kaka zangu , baba zangu, mama zangu na wazee wangu naomba mnisaidie niweze kutengeneza...
Habari za humu wakuu,,Mimi ni muhitimu wa shahada ya Taaluma ya Maendeleo (BA-DS) kutoka University of Dodoma mwaka 2022.
Lengo la kuandika huu uzi ni kuomba connection ya nafasi kujitolea...
Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria,
Naamini hapa Jamii forums
Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either...
Habari Wana JamiiForums
Nilikuwa natafuta kazi japo nipate hata intern kusukuma maisha Elimu yangu ni Shahada ya manunuzi (Bachelor Degree in procurement and supply chain management)
Pia nina...