Heshima yenu Wakuu
Niruke moja kwa moja kwenye mada
Humu kuna maCEO, MaHR, watu wana mabiashara yao makubwa wengine wana maconnection mbona hamtangazi hizo nafasi wadau tuingie mzigoni?
Mnaenda...
Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025.
Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu.
Wenzetu walipewa pesa...
Nimeogopa kutaja directly kituo cha kazi huwenda nikajulikana
Lakini,
Muda mrefu umepita Baada ya kuripoti ila ni kama wanapotezea posho ya kujikimu wakati ipo kwa mujibu wa Sheria...
Mimi ni mmojawapo wa waaajiriwa katika idara mpya katika Halmashauri ya mji Kasulu.
Tumeajiriwa toka tarehe 1/07/2025 mpaka sasa hatujalipwa pesa za kujikimu.
Tukiiuliza, wanasema pesa hazijaja...
Wanafunzi wa Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka na Tafiti (SLADS) kilichopo Bagamoyo chini ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) tunapitia changamoto kadhaa:-
Nawasilisha kero hii kwa...
Shirika la Bima la Taifa (NIC) kumekuwa na changamoto kwenye makato kinyume na makubaliano ya wanachama hususani ajira mpya jambo ambalo linapelekea migogoro baina ya Sirika na wateja wake...
Walimu 25 wa Manispaa ya Kigoma Ujiji tulishushwa madaraja bila taarifa yoyote huku Katibu TSC, Tume ya Utumishi wa Walimu ndugu Nathan Balanzinze akisema alikosea kutupandisha.
Hii imeathiri...
Mimi ni Mtumishi wa Serikali sina siku nyingi kazini lakini tangu siku nimeripoti nimekuwa nikisumbuliwa na hawa watu wa mikopo, wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe wakiomba nikakope kwenye...
Habari wakuu
Week kadhaa nyuma nilileta Uzi wa kumba Akira ya medical lab ila Hadi Leo bado sijafanikiwa kupata
Leo nakuja tena kwenu kama kuna MTU ana sehemu hata yakupata nauli Tu kwa siku pia...
Habari. Natafuta kinyozi wa saluni ya kiume ambaye atakua pia msimamizi iliyopo Kigamboni Geza ambaye tutalipana kwa mtindo wa hesabu. Aliye tayari na mwaminifu anicheki inbox.
Wakuu nilileta ombi bado sijapata kazi ni mhitimu wa degree ya sheria natafuta kazi yoyote iliyoko ndani na nje ya taaluma hii pia.
Naweza kufanya mahakamani, kwenye law firm mbalimbali, etc iwe...
Habari zenu,
Naombeni fursa ya kazi mimi ni mhitimu wa chuo mwaka 2023 nina degree ya Umeme, kwa mwenye connection naomba anisaidie niendelee ujuzi wangu nimezunguka sehemu mbalimbali lakini...
Habarini wapendwa poleni na majukum naombeni msaada wa conection ya kazi kwenye makaa ya mawe songea au mbeya.
Mimi ni operator wa excavator mzoefu, nimependekeza kwenye makaa ya mawe kwa...
Habari za wakati huu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Finance and Investment Planning. Naomba kwa heshima kama kuna fursa yoyote ya kazi hususan kwenye stationery, maduka ya jumla, warehouse, au...
Position: Individual consultant for research and report writing on hate speech, OGBV and mis-/disinformation (Full-Time)
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Duration: 10th February 2026 – 30th...
Kumekuwepo na tabia ya watu kutoka taasisi za mikopo na baadhi ya benki (ambazo mtumishi sio mteja) kumtafuta mtumishi wa uma na kumuelezea masuala ya mikopo.
Maswali ya kujiuliza ni:
Je...